Wana JF leo yamenikuta

Wana JF leo yamenikuta

Mods ndo kusema hamuoni watu wanaleta ujinga humu wanawatisha watu kwa mambo ya kipuuzi..we kama unagawa namba unakutana na ma stranger usije unakimbia huku yamalize mwenyewe
 
Alianza Tatty kuaga kwa style hii hii ya sintofahama na yeye akionyesha yaliyomkuta huku JF ni mazito na inabidi akimbie sasa hiv ni huyu Bushland naye akiaga kwa style ile ile hasemi nini kimemkuta ni anakimbia kimbia tu...Nini kinawakuta hawa watu tena inaonekana maswahiba hayo yanawatokea kwa siri..
Hivi tatty nae ameenda wap mkuu?
 
Umeamua kuhamia sayari gani mkuu?
Maana Nibiru imekaribia kufika,!
Kama vipi niandalie kiwanja huko!
 
Jaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
Unamaanisha umeuza smart phone hivyo hutaweza kuingia Jf mpaka mwakani?
 
Pole sana mkuu bushland japo hujataka kuwa muwazi nini kimekuthibu
 
mbona nimemuona katika moja ya viunga vya JF kitu kama dakika 20 zilizopita,? au umerudi kimya kimya nini,?
 
Back
Top Bottom