Kwa nini huwezi kuchangia Mkuu?Mimi nipo sana ila lately JF ilivamiwa na boom la habari za Rostam na Mengi, hizi huwa siziwezi kuchangia. Huwa nazisoma tu. Jamvi hili hatuwezi kulitupa. Btw, tusisahau kuwakilisha michango yetu kwa ajili ya JF.
Tusimsahau Mugongo Mugongo siku nyingi hajachangia lakini makombora yake tunayakumbuka! Mkuu rudi kundini!
- Swali zito sana mkuu Bubu, labda tusubiri majibu, patamu hapa sasa!
FMEs!
Nakubaliana na wewe Swali ni gumu kulijibu, kwa sababu kulijibu kwake kunanipeleka moja kwa moja kwenye kuchangia mjadala ambao kwa sababu za kifalsafa ninaamini sipaswi kuutolea kauli.
.
Na Pundit yuko wapi jamani??? Alikwa kiboko wa ku edit Kiingereza. Akiandika kiingereza inabidi wengine tuchukue Dictionary ya English bombastic!!! I miss her/him. Come back?? Where are you hidding man???
Nakubaliana na wewe Swali ni gumu kulijibu, kwa sababu kulijibu kwake kunanipeleka moja kwa moja kwenye kuchangia mjadala ambao kwa sababu za kifalsafa ninaamini sipaswi kuutolea kauli.
Mkuu Bubu, tuko pamoja katika harakati pamoja na kushindwa kujibu swali lako.
anakusalimuuuu...Kwa atakayempata ntashukuru kumshawishi arudi jamvini...asahau matokeo ya jana ilikuwa ni mpira tu tugange yajayo always kuna tomorrow...
mis u belly
HAHAHAHAHAHAH!this iz siriasanakusalimuuuu...
Unaweza kukuta pengine alitangulia mbele za haki,unajua mambo ya kuficha ID haya yana matatizo yake!
Unaweza kukuta pengine alitangulia mbele za haki,unajua mambo ya kuficha ID haya yana matatizo yake!
Labda kabadili jina!