William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
JARIBU JUKWAA HILI HAPA CHINI ILA WANATUMIA MAJINA HALISI TU NA UJUMBE HUWA UNACHUJWA
Bidii Afrika Mashariki - East Africa | Google Groups
This FMES character seems to be very "interesting" in real life
Hahaaaa...LOL....Unanichekesha sana mpwa...Kwamba unaivizia nafasi kubwa kitaifa...Unataka kusikia kitaifa zaidi....LOL...Haya kila la kheri(kwi kwi kwi)...Ukatuwakilishe vema huko...Penye nia pana njia mazee
Naona undercurrent sarcasm kwa sana.
Mzee wa sauti ya umeme mafanikio mema.
Ungewachunia kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ungekuwa umewapatia zaidi!! Wallahi tena......Kadampinzani aliondoka kimya kimya, Mchambuzi alisema anaondoka na hakurudi tena! Saa nyingine FMES unawapa ammo hawa "adui" zako, ukisha-declare kitu basi hakuna kuangalia nyuma, vinginevyo unakuwa unakula maneno yako na ndio maana jamaaz wanaendelea kukuzodoa!!
Uchune....

Haya Mkuu kila la heri. Hii vita dhidi ya mafisadi wanaoingamiza nchi yetu ndiyo kwanza imeanza na inahitaji juhudi za Watanzania wote popote pale walipo ili tuwashinde mafisadi hawa na kuwatokomeza kabisa. Naifananisha vita hii na vita vya nduli maana Mwalimu alitwambia 'sababu za kupambana na nduli tunazo, ari tunayo na uwezo pia tunao' hivyo hivyo tunaweza kuyatumia maneno hayo katika vita dhidi ya mafisadi maana athari zake kwa Watanzania zinashabihiana sana na athari zilizobabishwa na uvamizi wa nduli.. Popote pale ulipo unaweza kabisa kuendelea kushiriki katika mapambano hayo. Kwa mara nyingine nakutakia kila la heri wewe na familia yako, nafasi ikikuruhusu basi si vibaya kupita hapa jamvini kwetu.
FEMES,
Have never seen you as calm as today, you havent flipped at anyone so far! this is the right attitude kama utakuwa unafikiria kupanda majukwaani as its completely different issue na kuandika kwenye mtandao, if you say wrong things mbele za watu siku hizi unapopolewa mawe! And so many people will be saying things that you dont want to hear ,tena infront of your face- you will need this kind of calmness!
All the best and goodluck, unakaribishwa London for a cuppa.
FMES heshima mbele sana mkuu kama unavyopenda kusema siku zote!
ni juzi tu hapa nimeamua kuwa member wa JF.lakini siyo kweli kwamba nimeijua Jf juzi hiyohiyo na kuamua kuwa member.naijua jf tangia 2006.
Mkuu wewe ni mmoja kati ya watu ambao nilikuwa naifuatilia michango yao kwa karibu sana.Umenifanya niijue vizuri ccm na wakulu wa tanzania kwa ujumla kwa dataz zako ulizokuwa ukizimwaga hapa jamvini.personally ukitaja top 5 best members wa jf lazima nili include jina lako na siyo unafiki.
kuondoka kwako kutaipoozesha jf hasa katika jukwaa la siasa.kwavile ni uamuzi wako hakuna wakukuzuia lakini zile breaking news za ccm mkuu ingekuwa vyema kama ungeendelea kutuletea
otherwise kwahayo machache,all the best mkuu katika hizo plans zako mpya.
-...ni majuzi tu mshikaji wangu mwingine wa karibu sana Sister Pendo, alifariki dunia bado mpaka leo inanipa taabu sana mkuu kuikubali maana unajua sometimes kuna washikaji wavuka level ya ushikaji na kuwa kama ndugu...
Respect!
- Mkulu Bubu, siku zote you have my respect, mafisadi toka baada ya uchaguzi wa UV-CCM, wamegeuza makali sasa hivi wana-play katika level mpya tena ya ajabu sana, walifanikiwa kumdanganya kila mtu kwenye uchaguzi wa UWT na since then wamekuwa kama invisible, wamezuia habari zote za uozo wa UV-CCM zisitoke, majuzi wamempa heshima kubwa Kawawa, ambayo wananchi wengi hawaelewi the catch behind hiyo hype, kwamba wanamtayarisha tu Kawawa kumtumia kwenye kamati kuu katika kuenguea majina ya wagombea wasiowataka,
- Mafisadi wakiongozwa na Lowassa, Nchimbi, na Kingunge na Makamba watakuita mbele ya CC halafu watakwambia kuwa Mzee Kawawa ni kiongozi safi na mwenye kuheshimika sana na taifa, watamsimamisha ili akwambie kwamba hufai kupewa nafasi ya kugombea maana Mwalimu angekuwepo asingependa wagombea kama wewe, akimaliza you are out ndio maana hasa ya kelele za majuzi Ikulu na kitabu cha Kawawa, WhY now? Mafisadi wameanza kujipanga hao. Majuzi umeona sasa Mama Maria akitembelea Ikulu na picha na muungwana unafikiri ni kwa nini hasa? Na why now? Viongozi muhimu karibu wote wa upinzani wanasema wanatafuta ubunge, na sasa it is official kwamba tutanunua Dowans na kumlipa Rostam kupitia kwa Manji,
Basically, for now tumeshindwa vita na mafisadi labda mpaka baada ya uchaguzi ujao it hurts lakini ndio the ugly truth, wabunge sasa matumbo joto maana the time is up na mafisadi are all over wengi wao na hasa tuliokuwa tukiwategemea wameanza kukata deal nao yaani mafisadi, it is ugly outthere mkuu, lakini hatufi tamaa kuna uwezekano wa kuwarudisha wabunge wapiganaji labda wanne tu inasikitisha lakini ndio tatizo la umasikini wetu, wengi wetu ni masikini wa mali sasa tumeruhusu umetufika mpaka kwenye akili, nguvu ya mafisadi ni pesa tu maana wabunge wetu wengi wapiganaji hawana pesa kwa hiyo we lost tena big time.
Otherwise, heshima mbele sana na kazi njema wewe na familia yako pia.
Respect!
Pole sana kwa kuondokewa na 'mshikaji' wako, inabidi ukubali tu ndio hali halisi.
Duh, hii ndio JF addiction, yaani hata wakati wa kuaga unamwaga 'dataz' tena mbichi mbichi.
Mapumziko mema kwa matumaini ya kukusoma muda sio mrefu. Respect.
- Wakuu wengine wote respect na hakuna tatizo tutajibu maswali yote na concerns kama zipo, maana sio vyema kuwekewa maneno mdomoni na wengine
- Mkulu Bubu, siku zote you have my respect, mafisadi toka baada ya uchaguzi wa UV-CCM, wamegeuza makali sasa hivi wana-play katika level mpya tena ya ajabu sana, walifanikiwa kumdanganya kila mtu kwenye uchaguzi wa UWT na since then wamekuwa kama invisible, wamezuia habari zote za uozo wa UV-CCM zisitoke, majuzi wamempa heshima kubwa Kawawa, ambayo wananchi wengi hawaelewi the catch behind hiyo hype, kwamba wanamtayarisha tu Kawawa kumtumia kwenye kamati kuu katika kuenguea majina ya wagombea wasiowataka,
- Mafisadi wakiongozwa na Lowassa, Nchimbi, na Kingunge na Makamba watakuita mbele ya CC halafu watakwambia kuwa Mzee Kawawa ni kiongozi safi na mwenye kuheshimika sana na taifa, watamsimamisha ili akwambie kwamba hufai kupewa nafasi ya kugombea maana Mwalimu angekuwepo asingependa wagombea kama wewe, akimaliza you are out ndio maana hasa ya kelele za majuzi Ikulu na kitabu cha Kawawa, WhY now? Mafisadi wameanza kujipanga hao. Majuzi umeona sasa Mama Maria akitembelea Ikulu na picha na muungwana unafikiri ni kwa nini hasa? Na why now? Viongozi muhimu karibu wote wa upinzani wanasema wanatafuta ubunge, na sasa it is official kwamba tutanunua Dowans na kumlipa Rostam kupitia kwa Manji,
Basically, for now tumeshindwa vita na mafisadi labda mpaka baada ya uchaguzi ujao it hurts lakini ndio the ugly truth, wabunge sasa matumbo joto maana the time is up na mafisadi are all over wengi wao na hasa tuliokuwa tukiwategemea wameanza kukata deal nao yaani mafisadi, it is ugly outthere mkuu, lakini hatufi tamaa kuna uwezekano wa kuwarudisha wabunge wapiganaji labda wanne tu inasikitisha lakini ndio tatizo la umasikini wetu, wengi wetu ni masikini wa mali sasa tumeruhusu umetufika mpaka kwenye akili, nguvu ya mafisadi ni pesa tu maana wabunge wetu wengi wapiganaji hawana pesa kwa hiyo we lost tena big time.
Otherwise, heshima mbele sana na kazi njema wewe na familia yako pia.
Respect!
- Basically, for now tumeshindwa vita na mafisadi labda mpaka baada ya uchaguzi ujao it hurts lakini ndio the ugly truth, wabunge sasa matumbo joto maana the time is up na mafisadi are all over Respect!
Mkuu heshima ikufikie,
Kwa kweli ulikuwa umenikuna katika nyanja nyingi hapa JF.
Nakutakia kila lakheri uko kwenye wanja mpya
Kwa kweli, baada ya kusoma mabandiko yako huko, wewe ni kweli Mkuu wa uwanja wa Vita sio JF Ville bali hata kwenye wanja Kuu-Tanzania. Utabakia kuwa ma fav pale JF Ville- Na utabakia kuwa ma fav kwenye siasa za Watanzania.
Nitahakikisha nakutafuta hapa Dar, utanijua vizuri.
Sure, nita miss karakta wangu mkuu KB!!!😀
No hard feelings.
Aluta continua.