Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Was just wondering..
I am still alive. Nashukuru kwa kunikumbuka. Nilikuwa nimekwenda kutambika kidogo.
Ulikuwa umekwenda au ulikwenda? Mwalimu unaniangusha bana!
oh.. the perpertual mkosoaji! duh!!
Dah!! Hapa mkubwa wangu naona umenipa somo kali sana; sitarudia kosa hili.Ulikuwa umekwenda au ulikwenda? Mwalimu unaniangusha bana!
oh.. the perpertual mkosoaji! duh!!
Wakuu JF, hivi Mkuu FM ES yuko wapi?, simaanishi alipo kieneo. Lakini tangu tarehe 22 Februari hajatia mguu hapa JF. Kila jema kwake huko aliko.

Yupo huko aliko mazee msubirie atakuja na breaking news Kilango kugombea uraisi wa Jamhuri ya Same!!
Nadhani atakuwa amesafiri lakini sidhani kama ni kwa muda mrefu au ana dharura za kifamilia. I hope kila kitu kiko shwari.
kwenye TV na redio ilikuwaje?Nimeitumikia JF kwa hali na mali, na I gave everything as far as siasa is concerned, unajua kwa mwanasiasa kama mimi kila baada ya muda fulani ni lazima kufanya self analysis, na kujichambua kwa makini which nimekua nikifanya all the times na this time nikaamua kwamba wakati umefika wa kwueka kalamu chini, nia na madhumuni ni kutafuta nafasi kubwa zaidi ya kusikika kwa taifa nina options nyingi ambazo ninajaribu ku-figure out ipi itakidhi matakwa yangu, lakini ya kuchangia siasa kwenye hii forums, kwa sasa ninaamini kwamba nimefika mwisho.
Wazee wa sauti ya umeme - FMES!