..isije ikawa mafisadi wamemnunua na kuamua kumlipia tuition na kila kitu.
..jmushi1 alikuwepo hapa hata kipindi ambacho tunajua mitihani hufanyika vyuoni.
..madai kwamba anarudi shule hayaniingii akilini.
Mwanawasu kumbe upo?We acha tu huyu mtu muhimu SANA! awe hai au amekufa anatakiwa....
Unataka tuweke zile za UK? Hata UK huwezi kukuta za Tanzania pekee labda kama kuna kitu cha muhimu. Na hiki ndo kinafanyka hapa bongo GTwatu wapo sema wanaona hakuna haja ya kupost kitu kule kwenye siasa kwani inajulikana kitakachotokea
ndio maaana watu wanaingia na straight wanakuja huku
hivi ushajiuliza kwa nini ile forum inaitwa POLITICS na d WORLD news/lakini inajazwa siasa za Tanzania?
anyway mtu chake
GT nilimuaminia sana zamani nilipoingia hapa jf lakini siku hizi mhhhhh kila leo anakwaluzana na ma Mods tu. Kaacha njia ya kwanza ameamua kuchukua mwelekeo mpya.GT
Kulalamika lalamika mwishoni tutakuzoea kama mlalamikaji tu hata kama utakuwa na point.
FP
GT nilimuaminia sana zamani nilipoingia hapa jf lakini siku hizi mhhhhh kila leo anakwaluzana na ma Mods tu. Kaacha njia ya kwanza ameamua kuchukua mwelekeo mpya.
Haya bwana.
Yuko shule nadhani. Nilisikia wakati fulani akidai ana mpango wa kurudi shule. Hata hivyo namuona hapa mara moja moja.Aisee hivi jmushi kweli kaishia wapi? i do remember the fellow kwa hoja zake tata na fungamanishi....!
correctionMwanawasu kumbe upo?
😀 Mwanawasu kumbe uliwocorrection
Mwanawasu kumbe uliwo
wasemao na kukandia hali ya network bongo kusema kweli nawaunga mkono...even me when nilipokua kule cafe zao
Zao siyo?..kwa hiyo uko uliko ni Zenu siyo?..za Tanzania siyo zenu?...
Msahili akipata matako hulia mbwata.....

what is the meaning all this?
what is the meaning all this?
As far as I can suspect ni kwamba kuna watu wanajiona keki saaana baada ya kupata exposure huko ughaibuni, nakuona Tz si mali kitu..
I think this sucks..
As far as I can suspect ni kwamba kuna watu wanajiona keki saaana baada ya kupata exposure huko ughaibuni, nakuona Tz si mali kitu..
I think this sucks..
Well, sijui kama wanajiona keki kama unavyodai. Ila ukweli ni kwamba Bongo kunachosha sana. Kuna uzembe wa hali ya juu katika kila nyanja. Na hiyo si kwa sababu ya kukosa fedha. Ila mawazo ni finyu kupindukia. Mimi nimekaa ughaibuni kwa muongo zaidi ya mmoja. Sasa nipo hapa Bongo. NI michosho tupu. Huo ni ukweli; na sio hisia.
what is the meaning all this?
Which part is so difficult for you to understand..au imekugusa, kama na wewe ni mmoja wao pole sana cant help...
As far as I can suspect ni kwamba kuna watu wanajiona keki saaana baada ya kupata exposure huko ughaibuni, nakuona Tz si mali kitu..
I think this sucks..[/QUOTE]
Mtindiowaubongo nakubaliana kabisa na wewe, kuna watu wakitoka nje ya bongo basi wanajiona wao siyo wabongo, kila kitu ambacho kinakuwa kinaenda isivyo matakwa yao utasikia aaahh vitu flao feki sana, vitu vyao havina mpango....mambo kibao ya kipuuzi unakuta mtu anajiona vya nyumbani havimuhusu si vyao, vya ng'ambo ndiyo flao..
Well, sijui kama wanajiona keki kama unavyodai. Ila ukweli ni kwamba Bongo kunachosha sana. Kuna uzembe wa hali ya juu katika kila nyanja. Na hiyo si kwa sababu ya kukosa fedha. Ila mawazo ni finyu kupindukia. Mimi nimekaa ughaibuni kwa muongo zaidi ya mmoja. Sasa nipo hapa Bongo. NI michosho tupu. Huo ni ukweli; na sio hisia.
Tunachozungumzia hapa ni kudharau vya nyumbani ambavyo ni vyenu na kusifia vya ng'ambo ambavyo si vyenu, na huu ni ugonjwa wa watanzania wengi, huyu ni victin mmoja kati ya wengi wenye, mawazo maskini na yanayotakiwa kukemewa, bahati mbaya unawezakuta mtu mwenyewe yuko ng'ambo hata mwaka mmoja hajafikisha, ni juzi tu alikuwa akiishi ilala magorofani....na labda computer anayotumia ni ya mshikaji wake yeye hana....
I have got nothing against nobody, but this really sucks.