Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
Joouree oseya??
Aaa'akka !
Nisiina tokku!
Tengi na nyumbi mdala wane!
Joouree oseya??
Aaa'akka !
Nisiina tokku!
Tengi na nyumbi mdala wane!
Ngoja kesho bimkubwa akinitafsiria nitakujibu! LOL
Ulikua unapima kina maji ya ziwa na mswaki ?
Katafsiriwe na urejee !
Sasa nipime nini ilhali najua kabisa uko full pande hizo??
Wala . . . .nilikuwa nakujulisha tu kuwa hizo ti ti zimenikumbusha kuleeeee kwa kina Msengi! LOL
Kuna jamaa aliambiwa hepibathdei akajibu sem tu yu.
Ulikuwa haujui Mzee? Pole sana
Kipipi mzima wewe??
Nimeota unaniota kwenye ndoto!
Kaka ndo nazidi kupunguza umri wa kuishi, 34 yrs mkuu