Wana Jf Hacheni Upendeleo

Wana Jf Hacheni Upendeleo

Duuuh! Umeanza kwa lawaama au unautafuta umaarufu
 
Ha ha ha haaaa...Nyie warangi hamjambo?

Sasa payuko la nini ?
Ukishajua warangi!
What next ?
Kuna fungu limetangazwa la mshindi wa kwanza unapata au?
Wale wanaosemwaga na waungwana kwamba "...........akikukuta unakata gogo kalia!" si ndiyo nyie ?
Au nnakosea?
 
kama ulikuwa unaona ni issue sana for mie kusema nyie warangi, then usingeandika hapo kilugha, na kosa la kusema hivo ni nini?
mbona busara huna mkuu?lugha yote hiyo ya kejeli umepata nini?
i reserve my comment for huu ***** ulionijibu. sorry kama hukupenda, n better ungeni-pm kama hukupendezwa na nilivo-comment.
 
Nimeshangazwa na members wa Jf kuwa na upendeleo kwa baadhi ya member! Ikifika siku ya kuzaliwa kwa mtu ambae siyo maarufu hakuna hata wishes anayopewa bt akiwa maarufu inakuwa Shida! Hapa ingekuwa siku ya kuzaliwa kwa Bishanga, Lizzy, Pacco, B52 au Invisible! Hapa pasingetosha! Mm Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, wote mmekiwa kimya! Mmeniboa na kuniudhi wana Jf la sivyo mnitake radhi kwa kunibania wishes zangu. Asanteni kwa kunielewa.

By Ta kamugisha
ulisema?
lakini pia wewe uwa una huo utaratibu kwa wenzio zinapofika birthday zao?
pole mwaya HAPPY BELATED BIRTHDAY!
 
Ilo nalo neno Mkuu, ila Invisible hajatuwekea sehemu ya kutukumbushia hii kitu
 
Nimeshangazwa na members wa Jf kuwa na upendeleo kwa baadhi ya member! Ikifika siku ya kuzaliwa kwa mtu ambae siyo maarufu hakuna hata wishes anayopewa bt akiwa maarufu inakuwa Shida! Hapa ingekuwa siku ya kuzaliwa kwa Bishanga, Lizzy, Pacco, B52 au Invisible! Hapa pasingetosha! Mm Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, wote mmekiwa kimya! Mmeniboa na kuniudhi wana Jf la sivyo mnitake radhi kwa kunibania wishes zangu. Asanteni kwa kunielewa.

By Ta kamugisha

HBD and all the best wishes from JF. Hata FB inareminder...
 
Nimeshangazwa na members wa Jf kuwa na upendeleo kwa baadhi ya member! Ikifika siku ya kuzaliwa kwa mtu ambae siyo maarufu hakuna hata wishes anayopewa bt akiwa maarufu inakuwa Shida! Hapa ingekuwa siku ya kuzaliwa kwa Bishanga, Lizzy, Pacco, B52 au Invisible! Hapa pasingetosha! Mm Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, wote mmekiwa kimya! Mmeniboa na kuniudhi wana Jf la sivyo mnitake radhi kwa kunibania wishes zangu. Asanteni kwa kunielewa.

By Ta kamugisha

bojo otuganyile,waitu Ta Kamugisha wakihyukao!
 
Last edited by a moderator:
Nimeshangazwa na members wa Jf kuwa na upendeleo kwa baadhi ya member! Ikifika siku ya kuzaliwa kwa mtu ambae siyo maarufu hakuna hata wishes anayopewa bt akiwa maarufu inakuwa Shida! Hapa ingekuwa siku ya kuzaliwa kwa Bishanga, Lizzy, Pacco, B52 au Invisible! Hapa pasingetosha! Mm Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, wote mmekiwa kimya! Mmeniboa na kuniudhi wana Jf la sivyo mnitake radhi kwa kunibania wishes zangu. Asanteni kwa kunielewa.

By Ta kamugisha
https://www.jamiiforums.com/member.php?u=43991

Oh! pole sana mkuu na hongera kwa kuzaliwa upya.
 
Back
Top Bottom