Wana Jf Hacheni Upendeleo

Happy birthday...usikonde mkuu, ongeza postings ujulikane zaidi.
 

Hepi besdei Ta Kamugisha, hau oldi aa yuu?
 
happy bethdei tu yuu.
hongera mkuu kwa kufikisha 34 mungu akujaalie
uje uwaone wajukuu wa wajukuu wako.
 
Afadhali nimefarijika ingawa invisible kakaa kimya
 
huwa wanaambizana kwenye PM,

wala sio kwenye PM.....ni kwenye facebook na .....kama wewe si rafiki yangu mi ntajuaje....haya niadd sasa.....Perpetua Barabojic Qumnas......mwakani nakuanzishia uzi.....HAPPY BIRTHDAY.....Ta
Kamugisha....
 
Mie hizo habari za kuangalia birthday za watu hata sinaga kabisa.
Bora hata ungetutonya, wengine mpaka tuone nyuzi ndugu.

Ila ulichokisema kama kina kaukweli vile!! LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…