Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Wana JF ARUSHA WING.....MPOOOOO....!!!!!! Madame B natia timu, NIPOKEENI...!!!!!!!!

Mwambie huyo anaefanya biashara za msimu. Sahivi anajidai vile maji yananyweka!

hah hah hah hah! Mama muuza! Niwekee mafungu mawili ya spinachi nayapitia hapo mianzini nikiwa naelekea Kiding'a! Lol
 
huyo si ndiye aliyewapelekeni pale nmc mkafanyie kazi zenu huko! Ni bahati mbaya tu sweetlady alihamia mianzini baada ya kutimuliwa soko kuu!

Mi sifanyi kazi kwa maagizo ya meya wa kichina Filipo mi kokote nafanya kazi na bado niko town center nafanya mambo yangu meya wa kichina yuko kule ofcn kwake anaganga njaa
 
Last edited by a moderator:
Mi sifanyi kazi kwa maagizo ya meya wa kichina Filipo mi kokote nafanya kazi na bado niko town center nafanya mambo yangu meya wa kichina yuko kule ofcn kwake anaganga njaa

hah hah hah hah! Umehama nmc sasa upo chini ya mti! Kumbe kazi ya kupaka rangi kucha inabidi kuzunguka eeh?
 
Last edited by a moderator:
nani alikwambia Arusha watu wananunua maji! Mama anayetuleteaga msosi anakujaga na maji kwende ndoo! Lol.
Hahahaha! Msosi wenyewe unabebwa kwenye ndoo, wali bokoboko ! Ukila huku umefunga macho unaeza kudhani unakula ugali wa mchele lol.
 
nani alikwambia Arusha watu wananunua maji! Mama anayetuleteaga msosi anakujaga na maji kwende ndoo! Lol.

Malizia mama muuza anayeuza gongo anakuja nayo kwenye ndoo na wala sio suala la maji Filipo bana si useme tuu huwa unapiitia kwa yule mama muuza wa pale unga lelo

Filipo hapa utakuwa umechanganya madesa, nijuavyo mimi Mungi ndie mnywa viroba sasa Mr Rocky na viroba wapi na wapi?

Umeona eeehhh sweetlady naona Filipo kashalewa gongo huyu ndo maana anaongea mbofu mbofu aise

tatizo lenu nyie wadada wa barabara ya vumbi hamna hela za kupakwa rangi kucha. Bei yake haikupi hela ya rizimu yoyote zaidi ya viroba!
Filipo nareport abuse kwa kuchanganya madea
mnywa viroba mashuhuri umemsahau aise Erickb52 na mwenzake Arushaone unaniweka mimi Mungi kashajitoa ndo maana hayupo kwenye list
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom