wana Jf A-Town nataka niwajue.

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
mim niko A-Town ila siwajui wana Jf waliopo hapa mjini maana wengi wao naona wanaishi Dar ndio nataka niwajue na tujuane.
Nawasilisha.
 
Nakwepo mitaa ya njiro,moshono,kijenge,tengeru, na kimandolu.
kwani we upo mitaa gani
 
Niko shambani huku olkokola napalilia ile chakula yetu..nikija mjini nitakutafuta!
olko.jpg
 
chalii mi niko huku engosengyu nakula vichwa kwa bodaboda vp ww uko pande za wapii kaloleni, soweto, mianzini, sakina, unga limited, wapi ndugu!!!!!!!
 
JF Arusha wing wengi tunajuana, tuna Umoja wetu ambao mara kwa mara tunakutana na kujadili mambo ya msingi! Nakushauri m-PM Pakajimmy au Mzee wa Rula atakupa utaratibu wa kukutanisha na members ambao wamo kwenye umoja huo!
 
Kumbee.....Aseeee!!!
 
Itakusaidia nn? Sie tunaishi 'kimisukule misukule'!. Jina ngumu kujua,ukiumwa ngumu kujua,ukifa kuonana paradiso nk.
 
du kama jamaika vile niko mererani nasaka majasho.iyo chakula cku izi imepanda bei kwa sana huku mererani unavuna lini?ije kuchukua?
 
chalii mi niko huku engosengyu nakula vichwa kwa bodaboda vp ww uko pande za wapii kaloleni, soweto, mianzini, sakina, unga limited, wapi ndugu!!!!!!!

umekosea kuandika engosengiu ni shule ya msingi wewe sema uko engosheraton ambako ndo nyumban kwa wazazi
 
du kama jamaika vile niko mererani nasaka majasho.iyo chakula cku izi imepanda bei kwa sana huku mererani unavuna lini?ije kuchukua?

niko katkat ya mji yan hapa friendsconer maeneo ya kujidai
 
Nilidhani huyu kijana yuko serious, kumbe ni mtu wa mizaha!...I don see him takin any suggested means to solve the situation!
 
sijakuelewa nani? Tatizo lipi? More elaboration is needed
 
Back
Top Bottom