wana Jf A-Town nataka niwajue.

Hawa JF Members wa Arusha mkikutana mnaongelea mambo gani? Siasa za CDM?
Naona mmoja wenu amependekeza mkutane kwenye ofisi ya Mbunge......upuuzi mtupu!

amna amesema yeye ndo anapatikana kwenye hzo ofis
 
Wazo zuri sana kufahamiana.Mm nipo Sekei maeneo ya Big Y.Tutumie JF kuelimishana kwa kutumia hoja zenye mashiko,tuache kutukanana na kudhalilishana wakati huohuo tukisema sisi wote ni ndugu.
 
Back
Top Bottom