Wana JamiiForums tukishindwa kuwa na msimamo kwenye hili, Basi JF haina tija, tuachane nayo tu

Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
1,804
Points
2,000
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
1,804 2,000
Mambo manne. '
1. Kama tukithibitisha NI YEYE halafu tutakuwa tumepata faida gani?
2. Unataka mtu mwenye akili timamu awe na msimamo kwa jambo ambalo hajalifanyia research? No research no right to speak.
3. Siku hizi kumetokea photoshop "iliyosoma" ambayo inaweza kuchukua picha ya kichwa chako ikakifanya kinazunguka au hata kinasema kutokana na picha ambazo zimetoka kwenye mitandao. Program hiyo inaitwa DEEP FAKE. Wameshampiga picha za namna hiyo Trump, na Obama na actors kibao Marekani, sembuse Gwajima? Kwa hiyo, na wewe kaa chonjo-adui yako akifanikiwa kupata hiyo program unaweza kukuta kuna video zinasambaa zikionyesha 'unapakatwa'
4. Kwangu mimi hata bila kujua kama picha imetengenezwa au la, kuna mambo ambayo ukiyatafakari hayaingii akilini:-
a) Video inaonyesha imerekodiwa na Gwajima ndio maana hakujificha. Sasa kama amejirekodi kwa nini kuna wakati ametoa mkono akazuia sura isionekane, wakati kama alijirekodi alifanya hivyo ili aonekane?
b) Hata picha ya huyo mwanamke nadhani ni ya kutengenezwa. Sio kawaida mtu akiwa na "mtu wake"
ambaye anachepuka naye huyo mtu akakaa 'kama gogo' kiasi hicho. Hata sauti za mwanamke zinatoka lakini haziendani na mwili wake kujigusa. Haiwezekani mtu agune tu mwili ukae kimya hivyo.
c) Mtu anayejijua kama Gwajina, na anajua ana maadui kibao, atajirekodi akingonoka kwa sababu gani hasa? Ingekuwa hata ni yeye na mke wake tungeweza kufikiri labda wamefanya hivyo ili siku ingine watazame hiyo video 'wajikumbushe'. Lakini kama alikuwa anachepuka, angejirekodi ili iweje? Na kama kuna mtu aliingia akamrekodi kwa kificho, kwa nini basi alitoa mkono kuzuia camera halafu akaendelea?
Msihukumu bila kutafakari mambo hayo. Zaidi ya hapo ni dhambi mbele ya Mungu kumsema mtu (hasa kiongozi wa dini) kwa jambo ambalo huna uhakika nayo.
Uchambuzi mzito sana mkuu, Shukrani
 
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
1,804
Points
2,000
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
1,804 2,000
Ukiangalia kwa karibu kabisa ule uso wakati anarekebisha kamera ni Gwajima kabisa hivyo sina shaka ni yeye mhusika.
Sema yaonekana huyo demu alimsotea sana kumpata hivyo akataka aweke kumbukumbu zake mwenyewe awe anakumbukia bahati mbaya akalala na demu mwingine akazifuma video, huyo demu kwa hasira akazirusha kwingine likasanuka hapo.
Nimeamini maneno ya Emmanuel Mbasha
Aisee, mbasha kwani kasemaje mkuu?
 
Mgodo visa

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Messages
3,197
Points
2,000
Mgodo visa

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2016
3,197 2,000
Kichwa ni chake ila Kiwiliwili sio chake.
Tatizo hakusema yule Mwanamke ni wa nani...!!

Naamini 100% ni wa Kichwa...
 
Clarity

Clarity

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2010
Messages
1,152
Points
2,000
Clarity

Clarity

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2010
1,152 2,000
Inafikirisha sana mie nipo 50/50
 
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
1,804
Points
2,000
Nucky Thompson

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
1,804 2,000
JF haina faida, nime conclude
 
fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
535
Points
1,000
fierceman

fierceman

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
535 1,000
hivi kwenye shilingi 200 yule ni karume au siye?
 

Forum statistics

Threads 1,343,056
Members 514,894
Posts 32,772,180
Top