Wana JamiiForums tukishindwa kuwa na msimamo kwenye hili, Basi JF haina tija, tuachane nayo tu

Mi Nimechanganyikiwa mkuu mwanzo nilikuwa njia panda..ila watu wakaja nikaambiwa ni yeye nikashawishika, ila kuna watu wakaja na hoja nzito kuwa sio yeye nikawaamini, nilipowaamini tena watu wengine tofauti wakaja na hoja nzito zaidi kuwa ni yeye kabisa, wakaja wengine tena wakaniamisha sio yeye tena, na wengine, na wengine na wengine...Dah, kichwa kinaniuma
Pole,kunywa Panadol,tuliza akili na uachane na issue ya Gwajima,hutaiweza ni Complicated,utapoteza uhai wako bure kwa kufuatilia mambo yasio kuhusu...
 
Hapa tunajadili tunaelimika/kuelimishana na kuchukua jema kuacha baya. Suluhisho kichwani mwako.
Kama hujaelewa huna tofauti na j'lao
 
Wakuu unajua hii forum bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. Forum inakuwa haina maana kabisa. So mi nataka kujua.. tumeconclude vipi hii ishu ya Gwajima. Ni yeye au sio yeye.
Hebu toa maoni na sababu zako kwanza kama ni yeye au siyo yeye ili nasi tuchangie.
 
Mi Nimechanganyikiwa mkuu mwanzo nilikuwa njia panda..ila watu wakaja nikaambiwa ni yeye nikashawishika, ila kuna watu wakaja na hoja nzito kuwa sio yeye nikawaamini, nilipowaamini tena watu wengine tofauti wakaja na hoja nzito zaidi kuwa ni yeye kabisa, wakaja wengine tena wakaniamisha sio yeye tena, na wengine, na wengine na wengine...Dah, kichwa kinaniuma
chukua panado......
 
Ni sawa kuwa hoja ziwe na conclusion moderators wapo walifanyie kazi hili pili tuwe na page ya ukweli.Jambo likishaongelewa linakuwa na ukweli .ukweli huu uwekwe kwenye ukurasa wake maalumu baada ya kuthibitika . Ukurasa huu uitwe ukweli
Kweli mkuu...Halafu waiite Verified news and Facts Forum
 
Mambo manne. '
1. Kama tukithibitisha NI YEYE halafu tutakuwa tumepata faida gani?
2. Unataka mtu mwenye akili timamu awe na msimamo kwa jambo ambalo hajalifanyia research? No research no right to speak.
3. Siku hizi kumetokea photoshop "iliyosoma" ambayo inaweza kuchukua picha ya kichwa chako ikakifanya kinazunguka au hata kinasema kutokana na picha ambazo zimetoka kwenye mitandao. Program hiyo inaitwa DEEP FAKE. Wameshampiga picha za namna hiyo Trump, na Obama na actors kibao Marekani, sembuse Gwajima? Kwa hiyo, na wewe kaa chonjo-adui yako akifanikiwa kupata hiyo program unaweza kukuta kuna video zinasambaa zikionyesha 'unapakatwa'
4. Kwangu mimi hata bila kujua kama picha imetengenezwa au la, kuna mambo ambayo ukiyatafakari hayaingii akilini:-
a) Video inaonyesha imerekodiwa na Gwajima ndio maana hakujificha. Sasa kama amejirekodi kwa nini kuna wakati ametoa mkono akazuia sura isionekane, wakati kama alijirekodi alifanya hivyo ili aonekane?
b) Hata picha ya huyo mwanamke nadhani ni ya kutengenezwa. Sio kawaida mtu akiwa na "mtu wake"
ambaye anachepuka naye huyo mtu akakaa 'kama gogo' kiasi hicho. Hata sauti za mwanamke zinatoka lakini haziendani na mwili wake kujigusa. Haiwezekani mtu agune tu mwili ukae kimya hivyo.
c) Mtu anayejijua kama Gwajina, na anajua ana maadui kibao, atajirekodi akingonoka kwa sababu gani hasa? Ingekuwa hata ni yeye na mke wake tungeweza kufikiri labda wamefanya hivyo ili siku ingine watazame hiyo video 'wajikumbushe'. Lakini kama alikuwa anachepuka, angejirekodi ili iweje? Na kama kuna mtu aliingia akamrekodi kwa kificho, kwa nini basi alitoa mkono kuzuia camera halafu akaendelea?
Msihukumu bila kutafakari mambo hayo. Zaidi ya hapo ni dhambi mbele ya Mungu kumsema mtu (hasa kiongozi wa dini) kwa jambo ambalo huna uhakika nayo.
 
Ukiangalia kwa karibu kabisa ule uso wakati anarekebisha kamera ni Gwajima kabisa hivyo sina shaka ni yeye mhusika.
Sema yaonekana huyo demu alimsotea sana kumpata hivyo akataka aweke kumbukumbu zake mwenyewe awe anakumbukia bahati mbaya akalala na demu mwingine akazifuma video, huyo demu kwa hasira akazirusha kwingine likasanuka hapo.
Nimeamini maneno ya Emmanuel Mbasha
 
Mambo manne. '
1. Kama tukithibitisha NI YEYE halafu tutakuwa tumepata faida gani?
2. Unataka mtu mwenye akili timamu awe na msimamo kwa jambo ambalo hajalifanyia research? No research no right to speak.
3. Siku hizi kumetokea photoshop "iliyosoma" ambayo inaweza kuchukua picha ya kichwa chako ikakifanya kinazunguka au hata kinasema kutokana na picha ambazo zimetoka kwenye mitandao. Program hiyo inaitwa DEEP FAKE. Wameshampiga picha za namna hiyo Trump, na Obama na actors kibao Marekani, sembuse Gwajima? Kwa hiyo, na wewe kaa chonjo-adui yako akifanikiwa kupata hiyo program unaweza kukuta kuna video zinasambaa zikionyesha 'unapakatwa'
4. Kwangu mimi hata bila kujua kama picha imetengenezwa au la, kuna mambo ambayo ukiyatafakari hayaingii akilini:-
a) Video inaonyesha imerekodiwa na Gwajima ndio maana hakujificha. Sasa kama amejirekodi kwa nini kuna wakati ametoa mkono akazuia sura isionekane, wakati kama alijirekodi alifanya hivyo ili aonekane?
b) Hata picha ya huyo mwanamke nadhani ni ya kutengenezwa. Sio kawaida mtu akiwa na "mtu wake"
ambaye anachepuka naye huyo mtu akakaa 'kama gogo' kiasi hicho. Hata sauti za mwanamke zinatoka lakini haziendani na mwili wake kujigusa. Haiwezekani mtu agune tu mwili ukae kimya hivyo.
c) Mtu anayejijua kama Gwajina, na anajua ana maadui kibao, atajirekodi akingonoka kwa sababu gani hasa? Ingekuwa hata ni yeye na mke wake tungeweza kufikiri labda wamefanya hivyo ili siku ingine watazame hiyo video 'wajikumbushe'. Lakini kama alikuwa anachepuka, angejirekodi ili iweje? Na kama kuna mtu aliingia akamrekodi kwa kificho, kwa nini basi alitoa mkono kuzuia camera halafu akaendelea?
Msihukumu bila kutafakari mambo hayo. Zaidi ya hapo ni dhambi mbele ya Mungu kumsema mtu (hasa kiongozi wa dini) kwa jambo ambalo huna uhakika nayo.
Uchambuzi mzito sana mkuu, Shukrani
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom