Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihofu mku jf hatujalala kuna mtaalam wa video clips tumemuagizia kutoka UK anakuja kuifanyia uchunguzi kisha atatoa majibuWakuu unajua hii forum bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. Forum inakuwa haina maana kabisa. So mi nataka kujua.. tumeconclude vipi hii ishu ya Gwajima. Ni yeye au sio yeye.
Dah, afadhali mkuuUsihofu mku jf hatujalala kuna mtaalam wa video clips tumemuagizia kutoka UK anakuja kuifanyia uchunguzi kisha atatoa majibu
Ni yeye.SIO YEYE!
Okay in short huyo jamaa gwajima sioni uhusika wake na lile tukio, angalia hapa huu mustache 👇Ndio mkuu
SIO YEYENi yeye.
Ni yeye.
Mnanichanganya sana wakuuSIO YEYE
asa umesimama wapi mkuuuMi Nimechanganyikiwa mkuu mwanzo nilikuwa njia panda..ila watu wakaja nikaambiwa ni yeye nikashawishika, ila kuna watu wakaja na hoja nzito kuwa sio yeye nikawaamini, nilipowaamini tena watu wengine tofauti wakaja na hoja nzito zaidi kuwa ni yeye kabisa, wakaja wengine tena wakaniamisha sio yeye tena, na wengine, na wengine na wengine...Dah, kichwa kinaniuma
Ni yeyeWakuu unajua hii forum bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. Forum inakuwa haina maana kabisa. So mi nataka kujua.. tumeconclude vipi hii ishu ya Gwajima. Ni yeye au sio yeye.
Hakuna niliposimama mkuu nipo 50% kwa 50%asa umesimama wapi mkuuu
Ila unataka kujua ukweli ili iweje Sasa?Mnanichanganya sana wakuu
Kumbe hii video unayo tuwekee bas hapaOkay in short huyo jamaa gwajima sioni uhusika wake na lile tukio, angalia hapa huu mustache View attachment 1093180
Kuna msemo unasema "Ukweli utakuweka huru"Ila unataka kujua ukweli ili iweje Sasa?
Au umetumwa utafute watu wa kurekodi porn?
Ndio kuna mambo mengi yanaishia juu kwa juu, ila Hili limetikisa sana nchi..lazima conclusion ipatikaneNilivyoona kichwa cha uzi nikajua tumchangie zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa Max, inamaana katika mambo yoote yanayoendelea au tetesi zinazovuma kuhusu siasa, watu maarufu na matukio mengine, hili pekee ndio umeona lituunganishe JF tuwe na msimamo mmoja?
Acha watu wabaki na mitazamo yao na fikra huru jinsi wanavyochambua na kutazama mambo mkuu.