Kwa wale wana JF wenye tabia ya kujifanya wanamjua sana mtu 2023 muache

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,571
44,794
Hali vipi wana familia kutoka jf..Mambo yanaenda au sio basi tunashukuru mimi km mimi sisherehekei sana sikukuu hii ya mwaka mpya hivyo sijapika pilau wala kula kitimoto wala pombe nimepika tu nyanya.

Kwanza naonaga haina maana sana kwani siku yenyewe hii kutoka kalenda ya gregorian imetungwa na wa sumerian sasa wasumerian wa huko Mesopotamia wanahusiana nini na siku zangu za kila siku maana kila siku ni za kupata na pia za kukosa hata 1 january unaweza ukafa so why uihusudu sana na kusherehekea hii siku.

Calenda yenyewe imebadilishwa badilishwa na tawala mfano za roma tarehe zikachange so ni siku ya kibinidamu zaidi yaani mawazo yao haina uhusiano na ufanisi wangu wa maisha.

ila sipingi uamuzi wa mtu kusherehekea ila nafurahi zaidi kama mtu ataitumia kuweka kumbukumbu ya kubadilisha tabia zake au mienendo isiyofaa kwa mfano mimi kiukweli nilikuwa chapombe tena chapombe lofa ila kuna mabadiliko nimeyafanya kuanzia jana ya kuacha pombe (kupumzika pombe milele) nimekiri kwamba kuanzia tarehe 1 january 2023 sitakunywa tena vilevi hio ndo inabaki tu kama kumbukumbu yangu..

Sasa kwa watu wa chitchat au jf kwa ujumla Kuna hii tabia binafsi huwa inanikera sana jf ina majukwaa mengi ila unakuta mtu umepost uzi halafu anakuja mtu anakoment negative yaani OPPOSITE na mada yako kibaya zaidi analazimisha achangie kitu kutokana na mada zako za zamani.

Nitoe mfano ili nieleweke, tuseme uliwahi kuchangia kitu kwenye mada ya bangi miaka ya nyuma 2017 ukakiri kuwa ulitumia na ukaelezea maoni yako. Sasa unakuja kupost uzi mwingine mada nyingine kbs kwa mwaka 2023 ila mtu kwa kujifanya anakujua anacomment anasema wewe ni mvuta bangi tu tunakujua.

Kha sasa unabaki unajiuliza kwani wewe ni mashuhuri humu ndani mpaka mtu akukariri kwa kiwango hicho n je hajui kama Mungu akikuokoa mtu unaweza kubadilika.

Au kwa mfano mwingine tuseme kuna huyu mpwayungu village yeye kuna baadhi ya mada anaponda walimu sawa maana yuko huru kusema wapo watakaompinga au kukubali au kuboresha wazo lake ila unakuta siku nyingine anaanzisha mada nyingine ya kitu kingine ila mtu anakuja kuchangia uzi wake anasema blah blah we jamaa hupendi walimu ndo maana blah bla.

Huo ni ushamba tusipeane umaarufu usio na tija wewe kama unajua mshana anajua ulonzi na mambo ya kichawi basi endelea kujua hivyo ila akianzisha maada kuhusu mengineyo wewe comment hayo mengineyo unayoyajua sio kujifanya unajua sana watu na historia zao.

Ni hayo tu wanandugu kama huoni la kubadilisha kuhusu lifestyle mwaka huu 2023 basi badilika kuhusu hilo ili tuifanye jf kuwa kisima cha maarifa zaidi wengine sisi huku ndo tunapopatia maujanja yote na kuweza kupata maneno ya kutiatia story huku mitaani kwenye vijiwe kumbe ma great thinker ndo nyinyi ndo source nawapenda wote endeleeni kushusha nyuzi nyingi tujifunze mengi.

Name: Ndege john mpya.
location: Ufukwe wa bahari ya hindi.
 
Wa kwanza kusoma

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Unajua katika maisha kunajamboo Moja tu na ni Hili.
Mkuki Kwa nguruwe ni mtamu sana ila Kwa binaadamu ni mchungu uliponitesa ukanishutumia uongo kwenye nyuzi yangu ya nimekerekwa wananiita malaya ukatoa Yako uwe nani wewe usiitwe mvuta bangi wewe ni mvuta bangi Tena uliozidi uvuta bangi bangi ni wewe na ndio maana unatakiwa upelekwe mirembwe ukapewe dawa
 
🤣🤣🤣🤣
Umenifanya nicheke kwa sauti
 
Mimi nilicomment ndani ya mada husika kwamba nani akupende wewe watu huku hatujaja kupendana tumekuja kutia tu stori na wewe uache mazoea ya kujishtukia umeambiwa malaya huko PM ila unakuja kuanzisha thread as if sisi tunaelewa kinachoendelea
 
Umenifanya nicheke kwa sauti
Kipi kikuchekeshacho.mimi nilishaacha bangi kitambo ni kweli nilikuwa mvutaji ila ikafika kipindi nikivuta naishiwa nguvu nikaona kama hainipeleki tena high ya nini..nikaitema na pombe leo nina siku ya nne sijaigusa wengine wanadai ni kwa vile sina hela ila hapana msimamo ni huu huu nitawapa mrejesho wake 2024 mafanikio niliyopata baada ya kuacha chanzo kikuu cha upotevu wa pesa zangu
 
Mimi nilicomment ndani ya mada husika kwamba nani akupende wewe watu huku hatujaja kupendana tumekuja kutia tu stori na wewe uache mazoea ya kujishtukia umeambiwa malaya huko PM ila unakuja kuanzisha thread as if sisi tunaelewa kinachoendelea
Pm ndio nimeitwa Malaya eh au nihapa live lol
 
Kipi kikuchekeshacho.mimi nilishaacha bangi kitambo ni kweli nilikuwa mvutaji ila ikafika kipindi nikivuta naishiwa nguvu nikaona kama hainipeleki tena high ya nini..nikaitema na pombe leo nina siku ya nne sijaigusa wengine wanadai ni kwa vile sina hela ila hapana msimamo ni huu huu nitawapa mrejesho wake 2024 mafanikio niliyopata baada ya kuacha chanzo kikuu cha upotevu wa pesa zangu
Hongera sana na kila la heri mkuu.
 
Hali vipi wana familia kutoka jf..Mambo yanaenda au sio basi tunashukuru mimi km mimi sisherehekei sana sikukuu hii ya mwaka mpya hivyo sijapika pilau wala kula kitimoto wala pombe nimepika tu nyanya.

Kwanza naonaga haina maana sana kwani siku yenyewe hii kutoka kalenda ya gregorian imetungwa na wa sumerian sasa wasumerian wa huko Mesopotamia wanahusiana nini na siku zangu za kila siku maana kila siku ni za kupata na pia za kukosa hata 1 january unaweza ukafa so why uihusudu sana na kusherehekea hii siku.

Calenda yenyewe imebadilishwa badilishwa na tawala mfano za roma tarehe zikachange so ni siku ya kibinidamu zaidi yaani mawazo yao haina uhusiano na ufanisi wangu wa maisha.

ila sipingi uamuzi wa mtu kusherehekea ila nafurahi zaidi kama mtu ataitumia kuweka kumbukumbu ya kubadilisha tabia zake au mienendo isiyofaa kwa mfano mimi kiukweli nilikuwa chapombe tena chapombe lofa ila kuna mabadiliko nimeyafanya kuanzia jana ya kuacha pombe (kupumzika pombe milele) nimekiri kwamba kuanzia tarehe 1 january 2023 sitakunywa tena vilevi hio ndo inabaki tu kama kumbukumbu yangu..

Sasa kwa watu wa chitchat au jf kwa ujumla Kuna hii tabia binafsi huwa inanikera sana jf ina majukwaa mengi ila unakuta mtu umepost uzi halafu anakuja mtu anakoment negative yaani OPPOSITE na mada yako kibaya zaidi analazimisha achangie kitu kutokana na mada zako za zamani.

Nitoe mfano ili nieleweke, tuseme uliwahi kuchangia kitu kwenye mada ya bangi miaka ya nyuma 2017 ukakiri kuwa ulitumia na ukaelezea maoni yako. Sasa unakuja kupost uzi mwingine mada nyingine kbs kwa mwaka 2023 ila mtu kwa kujifanya anakujua anacomment anasema wewe ni mvuta bangi tu tunakujua.

Kha sasa unabaki unajiuliza kwani wewe ni mashuhuri humu ndani mpaka mtu akukariri kwa kiwango hicho n je hajui kama Mungu akikuokoa mtu unaweza kubadilika.

Au kwa mfano mwingine tuseme kuna huyu mpwayungu village yeye kuna baadhi ya mada anaponda walimu sawa maana yuko huru kusema wapo watakaompinga au kukubali au kuboresha wazo lake ila unakuta siku nyingine anaanzisha mada nyingine ya kitu kingine ila mtu anakuja kuchangia uzi wake anasema blah blah we jamaa hupendi walimu ndo maana blah bla.

Huo ni ushamba tusipeane umaarufu usio na tija wewe kama unajua mshana anajua ulonzi na mambo ya kichawi basi endelea kujua hivyo ila akianzisha maada kuhusu mengineyo wewe comment hayo mengineyo unayoyajua sio kujifanya unajua sana watu na historia zao.

Ni hayo tu wanandugu kama huoni la kubadilisha kuhusu lifestyle mwaka huu 2023 basi badilika kuhusu hilo ili tuifanye jf kuwa kisima cha maarifa zaidi wengine sisi huku ndo tunapopatia maujanja yote na kuweza kupata maneno ya kutiatia story huku mitaani kwenye vijiwe kumbe ma great thinker ndo nyinyi ndo source nawapenda wote endeleeni kushusha nyuzi nyingi tujifunze mengi.

Name: Ndege john mpya.
location: Ufukwe wa bahari ya hindi.
ndege JOHN ingia kwenye hicho kichupa alichokishika Chizi Maarifa haraka sana, na ukae humo kwa kutulia.
Chizi Maarifa, leo saa tisa usiku UMUGHAKA atakupeleka Chumbe kwa mtaalam kukifanya hicho kichupa kiniletee utajiri mkubwa sana, mmesikia? Alisikika Ally Mpemba akitoa maagizo kwa sauti kali isiyo na masikhara hata kidogo
 
Hali vipi wana familia kutoka jf..Mambo yanaenda au sio basi tunashukuru mimi km mimi sisherehekei sana sikukuu hii ya mwaka mpya hivyo sijapika pilau wala kula kitimoto wala pombe nimepika tu nyanya.

Kwanza naonaga haina maana sana kwani siku yenyewe hii kutoka kalenda ya gregorian imetungwa na wa sumerian sasa wasumerian wa huko Mesopotamia wanahusiana nini na siku zangu za kila siku maana kila siku ni za kupata na pia za kukosa hata 1 january unaweza ukafa so why uihusudu sana na kusherehekea hii siku.

Calenda yenyewe imebadilishwa badilishwa na tawala mfano za roma tarehe zikachange so ni siku ya kibinidamu zaidi yaani mawazo yao haina uhusiano na ufanisi wangu wa maisha.

ila sipingi uamuzi wa mtu kusherehekea ila nafurahi zaidi kama mtu ataitumia kuweka kumbukumbu ya kubadilisha tabia zake au mienendo isiyofaa kwa mfano mimi kiukweli nilikuwa chapombe tena chapombe lofa ila kuna mabadiliko nimeyafanya kuanzia jana ya kuacha pombe (kupumzika pombe milele) nimekiri kwamba kuanzia tarehe 1 january 2023 sitakunywa tena vilevi hio ndo inabaki tu kama kumbukumbu yangu..

Sasa kwa watu wa chitchat au jf kwa ujumla Kuna hii tabia binafsi huwa inanikera sana jf ina majukwaa mengi ila unakuta mtu umepost uzi halafu anakuja mtu anakoment negative yaani OPPOSITE na mada yako kibaya zaidi analazimisha achangie kitu kutokana na mada zako za zamani.

Nitoe mfano ili nieleweke, tuseme uliwahi kuchangia kitu kwenye mada ya bangi miaka ya nyuma 2017 ukakiri kuwa ulitumia na ukaelezea maoni yako. Sasa unakuja kupost uzi mwingine mada nyingine kbs kwa mwaka 2023 ila mtu kwa kujifanya anakujua anacomment anasema wewe ni mvuta bangi tu tunakujua.

Kha sasa unabaki unajiuliza kwani wewe ni mashuhuri humu ndani mpaka mtu akukariri kwa kiwango hicho n je hajui kama Mungu akikuokoa mtu unaweza kubadilika.

Au kwa mfano mwingine tuseme kuna huyu mpwayungu village yeye kuna baadhi ya mada anaponda walimu sawa maana yuko huru kusema wapo watakaompinga au kukubali au kuboresha wazo lake ila unakuta siku nyingine anaanzisha mada nyingine ya kitu kingine ila mtu anakuja kuchangia uzi wake anasema blah blah we jamaa hupendi walimu ndo maana blah bla.

Huo ni ushamba tusipeane umaarufu usio na tija wewe kama unajua mshana anajua ulonzi na mambo ya kichawi basi endelea kujua hivyo ila akianzisha maada kuhusu mengineyo wewe comment hayo mengineyo unayoyajua sio kujifanya unajua sana watu na historia zao.

Ni hayo tu wanandugu kama huoni la kubadilisha kuhusu lifestyle mwaka huu 2023 basi badilika kuhusu hilo ili tuifanye jf kuwa kisima cha maarifa zaidi wengine sisi huku ndo tunapopatia maujanja yote na kuweza kupata maneno ya kutiatia story huku mitaani kwenye vijiwe kumbe ma great thinker ndo nyinyi ndo source nawapenda wote endeleeni kushusha nyuzi nyingi tujifunze mengi.

Name: Ndege john mpya.
location: Ufukwe wa bahari ya hindi.
Umesema jambo la muhimu sana. Hamna haja ya kujidai unamjua sana mtu. Tafuteni kuzijua mbinu nyingi za kupata pesa, badala ya kuzijua mbinu nyingi za kuyajua maisha ya watu
 
Back
Top Bottom