princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
- Thread starter
- #201
Dah.. hili jukwaa burudani asee...
Sanaaaaaa
Dah.. hili jukwaa burudani asee...
Mie humu mpk nimesahau njia za kupita...
Ahahhhhahaha Excel mkorofi enheeee miss neddy ..??!
Ahahhhhahaha Excel mkorofi enheeee miss neddy ..??!
nimerudi tena bi mdada...kwema lkn?lazima usahau umepotea kabisaaaaaaaa
mamii huyu si mgeni wetu yule tulimtuma aende kijijini kufuata mbuzi wa maziwa na kondoo wa kuja kuchinja wakati wa pasaka halafu tukamwambia amwambie bibi na babu kuwa sisi watoto wao tu waziima na tulishapata kazi ya kuuza mbao kutoka kilosa morogor na sasa soko lake liko vizuri na tunasafirisha na nguo kutoka thailand kwa bei nafuu tunauza tandale, magomeni mbagala na magomeni kwa akina anii?
umesahau Rich Woman?
Alaah kumbe ndo huyu
Maana nimeshtuka huo ukarimu wako kwake
Heeeeeeeer teh teh teh
Excel mwenyeweeeee yan wine yangu ukaanza kunywa wew loooooohhhhhhhaaaah! princess enny mwenyeweeeee!!!! mamii toka jana nikakwandalia wine ukadengua! hivi kwanini lakini? mbona excel ni mtu mzuri saana! ushafikiria mbaaaaali! karibu lakini eenh!
Kaaaaaaarb bhana
Alaah kumbe ndo huyu
Maana nimeshtuka huo ukarimu wako kwake
sijaiiiinywa bebitoooo!!! unajua nini..! hebu geuka nikwambie kitu!