Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
eh...huyu Excel au nani?
Huyo huyo
Last edited by a moderator:
eh...huyu Excel au nani?
hebu muulize Honey Faith.....mkuu mbona sikuelewi....
ah......
nimemis pia....Vipi?....
welcome back
Walahi nakuona uko kwenye kampeni....
Umemiss nini hasa, tiririka pwincess
In this world nothing is certain than Tax and Death.
mamii huyu si mgeni wetu yule tulimtuma aende kijijini kufuata mbuzi wa maziwa na kondoo wa kuja kuchinja wakati wa pasaka halafu tukamwambia amwambie bibi na babu kuwa sisi watoto wao tu waziima na tulishapata kazi ya kuuza mbao kutoka kilosa morogor na sasa soko lake liko vizuri na tunasafirisha na nguo kutoka thailand kwa bei nafuu tunauza tandale, magomeni mbagala na magomeni kwa akina anii?
umesahau Rich Woman?