nimerudi tena bi mdada...kwema lkn?
Kwema.........nilikumis sana
Namie nilie kumiss wewe je? Unaniambia nini ?
Ahhahahhahahah mbona hatokei nimuone.mm jaman namsubr..!!!!!!!
hivi humu kuna Valentina na 'Valentina' eenh?
Wakuu kiwatengu, uran, 'Valentina' naombeni mnishawishie kijana wetu Rich Pol aje huku kupatana na binti mrembo princess enny!
Hii sio nafasi ya kupoteza....!
Usiku mwema wapendwaaaa Excel Rich Pol 'Valentina' Heaven on Earth uran Judgment na woooteeeeeee mnaonifanya niilaveeee chit chat bila kumsahau rutash......lwa!!!!

mi huyu hapa sasa mkuu.
Hivi na wewe upo kwenye team bazaz?