Wana Chit - Chat!!

Wana Chit - Chat!!

ahsanteeee!! leta basi hicho kimzigo nikutue na wewe!!! unafichaficha nini sasa?

au ndo vifaa vimo humo?

Mambo yetu yale ndo yapo humu ndani
yani nilivyochoka nahitai sana msaada vingine tutaongea vizuri
 
Mambo yetu yale ndo yapo humu ndani
yani nilivyochoka nahitai sana msaada vingine tutaongea vizuri

mbona wameku-over-work namna hii?

mpaka saa hizi ndo unatoka kazini? kweli?

au ndo michepuko yakheee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom