Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,832
Jamaa walikua safarin wakapita mbugani m1 akamwambia mwenzie umewaona simba walee? jamaa akajibu alaa!kumbe wale ndo simba?sasa pale kaseja ndo yupi? Wana chit chat mi mwenyewe simjui kaseja eti yukoje?