Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Wow shem Cantalisia nimefurahije kukuona? mwaJ habari zake anazifahamu uzuuuuri kabisa babu yako Asprin maana ameshindikana! khaaa mi niko mpakani na malawi, najiandaa kwa vita!
Fanya maandalizi ya kutosha urudi salama, hawa wajukuu siwawezi peke yangu.

attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom