Wana Chit-Chat enzi hizooooo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Asprin, Aug 9, 2012.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Wakulu salama....??

  Jana nlikuwa shamba katika kusheherekea sikukuu yetu ile nikakutana na picha nlowapigeni enzi hizo.

  [​IMG]

  Mnaviona hivyo vidume viwili ambavyo havijavaa kaptula? Wa kushoto ni BAGAH na mwingine ni Erickb52
  Kisichana kilichotinga blue ndo Mamndenyi wakati cha kulia kabisa ndio ummu kulthum. Kushoto mwa Erickb52 ni KARIA nyuma yake ndo princess enny. Kidume kilicho mbele bila shati ndio Kaizer sasa. Kulia kwa Kaizer ni kilimasera na kushoto kwake ndio Madame B. Nyuma ya Madame B yuko Judgement. Hako kalikobebwa na Kongosho ndio charminglady. Anayechungulia kwa nyuma kabisa ni HYGEIA wakati yule tall kuliko wote ndio Eversmilin Gal

  [​IMG]

  Hapa ni beibe nasty, wahida, Cantalisia na Catherine wakikata mkonyonyo. Radio ya philips haionekani hapo wala DJ Bishanga naye kamera haikumnasa

  Sasa hebu angalia watu wanavyobadilika:  Mentor
  na Catherine

  [​IMG]  Kongosho
  akimshikisha adabu Erickb52
  [​IMG]


  Bishanga
  akiwa kishashiba
  [​IMG]


  @Mamndenyi akimchekesha Yummy
  [​IMG]


  Kaizer
  akimsindikiza mwaJ
  [​IMG]


  charminglady
  na platozoom
  [​IMG]


  Wake zangu Yummy, BADILI TABIA na cacico, ile albamu nyingine mmeiweka wapi??
   
 2. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wewe uko wapi kwenye hiyo picha?
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Mie ndo nlikuwa mpiga picha.... Umeelewa??

  [​IMG]
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Jamani eee,naskia rahaaa utamu,rahaaa utamu.
  Asprin asubuhi hii jamani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii nimeipenda sana inajieleza vizuri mno! la sigara lipo, swali vp kuhusu bango la ngono?
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Haya kam zis way nikukate kiu...
  [​IMG]
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Du! Kwa kutunza kumbukumbu babu!
  Nimekukubali !
  Hebu tuletee na hiyo albam ya pili !
   
 9. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kitu gold! Mbona unanitia hamu!
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Dah!
  Kitu cha Ndovu bardiiiii,
  Kinatema umande na unyevunyevu wa ubaridi.
  Na pembeni kuna mguu wa mbuzi wa kuchoma,
  Made in Vingunguti area.
  Nisubiri nakuja to ur way Asprin.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Nakutia hamu? Na huyu atasema anatiwa nini sasa??

  [​IMG]
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Umejiandaa lakini? Si unajua kazi nyingine ngumu??

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 13. princess enny

  princess enny JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 1,042
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  heeee!!!! tulichomaje thatha!! lete album ya pili ndio tulipendeza sana!!
   
 14. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ujue ya kale ni dhahabu unaposema mke wa zamani mwenzio naona wivu jamaa!
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Huyu wa sasa hivi hakufikishi mawenzi??

  [​IMG]
   
 16. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  huyu hamu! na huyo mtoto kasoma mno! anamsaidia baba yake maandalizi!
   
 17. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Si unajua wababa wengine ni wazembe sana?

  [​IMG]
   
 18. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hizo kwangu ni kama kumsukuma mlevi vile.
  Yani ni pacha kama kiungo na mkabaji.
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,049
  Likes Received: 24,051
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa. Nikukute kabisa tiyari, sawa eh?

  [​IMG]
   
 20. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Haya,
  ila mziki wangu mnene,
  cd 990!!
  Usije ukakata roho mtoto wa watu,nikapata murder kesi.
   
Loading...