Couple Bora ya Chit-Chat hii hapa!

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Nikiwa kama mratibu wa shindano la kusaka ni couple ipi bora na mfano wakuigwa naomba kutangaza rasmi walioshinda.!
Hapakuwa na katiba ilonizuia kushiriki shindano kwa kuwa ni Mratibu hivyo na mimi nilikuwa mshiriki....!
Natangaza kuwa Erickb52 na Amyner ndio the best couple daima!
Tangu niingie moyoni kwa Amyner naye moyoni mwangu tumekuwa ni watu wenye furaha na wenye mapenzi ya kweli bila kujali umbea wa Bishanga na mkewe The secretary na uwepo wa nyumba ndogo kadhaa....amenivumilia sana! Chocs najua wanipenda sana ila usijali bado uko kwenye probation na kukidhi viwango vya uvumilivu kama Amyner

Nikiwa kama Mratibu naomba kuwataja washiriki wenzangu!
1. sweetlady na nitonye -Hawa Talaka ni nyingi sana
2. Bishanga na The secretary -Wambea sana na wanagombana kila kukicha
3. Filipo na marejesho -Mapenzi yao ya plastic
4. King'asti na Paw -Wanapendana kisa King'asti hataki ban na hajatulia.
5. watu8 na measkron -Hawaeleweki eleweki utadhani wanaiba
6. Arabela na zubedayo_mchuzi -Kila siku Arabela analalamika hatimiziwi haja zake
7. Ruttashobolwa na Passion Lady - Mh bado penzi lao changa
8. Mr Rocky na Dena Amsi -Hawafai kuigwa
9. Mr Rocky na Mamndenyi -Penzi changa bado
10. YNNAH na Judgement - Wanaonekana kama bado wako probation
11. sosoliso na Paloma ??????
12. gfsonwin na Kaizer -Penzi lao lilikuwa zamani
13. Mentor na Mrembo by Nature -Under ground bado
14. Madame B na Ben Saanane / Chimbuvu / nawengineo lol sio couple tena hii ni SACCOS!
15. Mungi na Lily Flower - Mara ya mwisho Naroki Mungi alijifanya hamjui mkewe lol
16. Remmy na PakaJimmy -Ilidumu kwa masaa mawili tu
17. stevoh na Zion Daughter -Hawa watasahaulika hadi siku ya ndoa yao! lol Samahanini sana!
18. Slave na Evelyn Salt -Jukwaa la wakubwa ndio linawatenganisha hawa jamaa
19. mimisa na KakaKiiza -Duh wanatongozana kila siku na hawafikii muafaka
20. sakapal na FP -Hawavumi ila wamo a.k.a Kimyakimya
Mwisho naomba kusema kama kuna couple haipo hapa ijue inasuasua sana na wachukue hatua. Arushaone nimeshindwa kujua wewe uko nanani au ndio King Mswati? kiwatengu utachonga sana..!

Naomba zawadi yangu Bishanga unipatie kabla ya lunch time.
Salamu zangu kwa Kipipi Nakupenda sana!
Copy kwa AshaDii na kiwatengu

"Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!
"
 
Last edited by a moderator:
Code:
16. [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=16543"]Remmy[/URL][/B] na [B][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=15469"]PakaJimmy[/URL][/B] -Ilidumu kwa masaa mawili tu
Mbona huelezi kilichoendelea baada ya hapo?
Ni kwamba baada ya masaa mawili hayo tuliamua kufika kwa Paroko na kufunga ndoa...kwahiyo sasa hivi ni Mke na mume rasmi!
Actually its one of the happiest couples known!...
Unalo?
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! na uzee wote huu bado mnataka kunishindanisha kwenye haya mashindano...nyie endeleeni kushindan lakini sisi tunaendelea kufaidi matunda ya uumbaji...
My honey bunny measkron come dear lets show some loveeee!!!! :A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Hahahahaaa huo ni mtazamo wako
Jana tu alikuwa anamtaka kiwatengu kakusahau
 
Last edited by a moderator:
Khaa!! na uzee wote huu bado mnataka kunishindanisha kwenye haya mashindano...nyie endeleeni kushindan lakini sisi tunaendelea kufaidi matunda ya uumbaji...
My honey bunny measkron come dear lets show some loveeee!!!! :A S-heart-2::A S-heart-2:
Duh haya endeleeni kulea ila mwambieni binti yenu charminglady aige mfani wenu
 
Last edited by a moderator:
Kaka Erickb52 naona unantafuta uchokozi na wake zangu wagombane ( ladyfurahia, vivian, Catherine na huyu mpya Mrembo by Nature)

...Sitaki kuwepo kwenye mashindano haya infakti kwa sababu hii ningeomba kuteuliwa kuwa mratibu mkuu wa mashindano haya.

Ama lasivyo unipambanishe na kina Madame B & Chimbuvu, Ben Saanane, Mjeda et al kwenye Best JF SACCOS couple.

Si unajua hata kwenye NECTA huwa wanatangaza matokeo kwa shule zenye watahiniwa chini ya 45 na zaidi ya 45...

Baada ya kusema haya, naomba ku-appeal..

Cc: Ruttashobolwa
 
Last edited by a moderator:
yani ni vijmambo............nipo nacheka tu hapa.....hahahaa

Erickb52............hahahahahaaaa imenibidi nicheke!!! mpaka machozi...............ni Invisible au Invisible???
(mbona hujiamini kumtaja sasa)
Hahahahaaaa lazma uogope maana anaweza fyatuka huko aliko akaja kama mshale lol ila ndio huyohuyo mlengwa!
 
Kaka Erickb52 naona unantafuta uchokozi na wake zangu wagombane ( ladyfurahia, vivian, Catherine na huyu mpya Mrembo by Nature)

...Sitaki kuwepo kwenye mashindano haya infakti kwa sababu hii ningeomba kuteuliwa kuwa mratibu mkuu wa mashindano haya.

Ama lasivyo unipambanishe na kina Madame B & Chimbuvu, Ben Saanane, Mjeda et al kwenye Best JF SACCOS couple.

Si unajua hata kwenye NECTA huwa wanatangaza matokeo kwa shule zenye watahiniwa chini ya 45 na zaidi ya 45...

Baada ya kusema haya, naomba ku-appeal..

Cc: Ruttashobolwa
Hahahaaaa kweli aisee nilisahau duh
Kumbe na wewe umeunda SACCOS kama ya Madame B ?
Hahahahaaa ni balaa lazma watoane meno
 
Last edited by a moderator:
Kaka Erickb52 naona unantafuta uchokozi na wake zangu wagombane ( ladyfurahia, vivian, Catherine na huyu mpya Mrembo by Nature)

...Sitaki kuwepo kwenye mashindano haya infakti kwa sababu hii ningeomba kuteuliwa kuwa mratibu mkuu wa mashindano haya.

Ama lasivyo unipambanishe na kina Madame B & Chimbuvu, Ben Saanane, Mjeda et al kwenye Best JF SACCOS couple.

Si unajua hata kwenye NECTA huwa wanatangaza matokeo kwa shule zenye watahiniwa chini ya 45 na zaidi ya 45...

Baada ya kusema haya, naomba ku-appeal..

Cc: Ruttashobolwa

hahahah Mentor,

Umeandika kama vile bonge la CPA holder anayesaidia makampuni kwenye Tax evasion.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom