Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

Asprin nimecheka mpaka sioni kwa machozi! Maelezo na hizo picha 2 za mwanzo na hiyo ya Mamndenyi akimchekesha Yummy zimenimaliza. Ila hiyo ya Kaizer akimsindikiza mwaJ haikufunguka. Nitarudi baadae na blouse ya kumvisha Yummy!
 
Last edited by a moderator:
Wajemeni! Mmemwona Asprin na vituko vyake vya picha za kuchekesha sio? Sikukosea sana nilipoanzisha thread maalum kwa ajili yake hapa cc. Sasa naomba twende mbali zaidi. Mwisho wa mwaka huu tuanzishe tuzo maalum ya "JF Comic Photographer of the Year" Au mwasemaje Invisible na Mike McKee? Naomba wana cc wote tuunge mkono hii hoja!
 
Last edited by a moderator:
You are my wife and a real friend. Siyo kama wengine wananizuga tu agggrrrrrrr!!

attachment.php

My mbavuuu hehe me love she is real nasty n naughty hahaaaaaaaaa duh hadi nimelonga kidhungu
 
Imeanza ya maneno, siye tunajipanga na magari y deraya na vifaru so kudinyana marufuku khaaa! Kuwa mjeda kaaz kwel kwel

Khaaaaa!inawezekanaje kazi bila dawa?asa ile mizuka ikiamka mnasolve vp hiyo ishu lol!karibu niko namlisha Rejao wangu pre chaucku lol!
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa jamaa ana stahili tunzo huyu! Anatisha sana

Wajemeni! Mmemwona Asprin na vituko vyake vya picha za kuchekesha sio? Sikukosea sana nilipoanzisha thread maalum kwa ajili yake hapa cc. Sasa naomba twende mbali zaidi. Mwisho wa mwaka huu tuanzishe tuzo maalum ya "JF Comic Photographer of the Year" Au mwasemaje Invisible na Mike McKee? Naomba wana cc wote tuunge mkono hii hoja!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom