Miss CHIT-CHAT NOVEMBER: Pendekeza Majina sasa!

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,136
13,258
Unaruhusiwa kupendekeza majina manne tu, watakaotajwa zaidi ndio watakaopitishwa kwenye mchujo wa 16 bora.
Anza sasa, mimi naanza na wafuatao:

1 Lady doctor

2 Chocs

3 AshaDii (No excuses please)

4 mimisa.

Zoezi hili litasimamiwa kwa karibu na:
Erickb52
Kaizer
Katavi
KOKUTONA
Madame B
Mamndenyi
Mtambuzi
PakaJimmy
Ruhazwe JR

Chini ya usimamizi wa Babu ODM Asprin

Tarehe 28/10/2013 ndio tarehe ya mwisho, baada ya hapo waliopita 8 bora watatangazwa, then watapigiwa kura kupata 4 bora, then 2 bora kisha mshindi mwisho wa November atapatikana. Ila hatua ya final tutamshirikisha Invisible ili ule utaratibu wa Electronic kama uliotumika mwaka jana utumike tena.

Kuhusu zawadi, mpaka sasa bado tunatafuta wahisani/wafadhili watakaowasilisha michango yao kwa Moderator au AshaDii ili washindi wapewe zawadi zao au walipiwe JF membership eg. GOLD, TANZANITE etc.

Matokeo mengine yatakuwa yanaletwa kwenu na:

ARUSHA ONE FM

Pia Ukiwa Arusha na mikoa ya KILIMANJARO,MANYARA,SINGIDA,TANGA,DODOMA, , fungua 101.6 FM, Waweza pia ingia kwenye Facebook u-'like' page yetu.

Arusha One Fm 101.6 | Facebook
 
Ingekuwa inafaa sana kama ungesema tarehe ya mwisho ya kupokea majina;
na zawadi za washindi pia ziwe wazi.

Last edited by a moderator:
hiyo inawahusu ma-miss sisi ma-mrs haituhusu kabisa

Litakapokuja shindano la mrs bomba mnipange kwenye kinyang'anyiro
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom