Wana chit chat dhaifu

nimekuona huko chini mkwe Kaizer unavyojitetea udhaifu wako, mpaka kwenye magazeti ya waandishi wa veta aka shigongo pepaz upo, lol!

Yaani mkwe cacico, muhimu sana nisije kosa mwali bure,,,kisa eti mi dhaif lol
 
Last edited by a moderator:
niambie papito! walipo watu wazima neno haliharibiki, naskiliza haswaaaaaaa! na siwezi kucheka!

Basi mamii mi mwenzio tangu juzi kiuno chauma na niko mwenyewe...get me!???
 
CUTE, i think hapo ndipo haswaa...
natafakari zaidi..ntakupa feedback yangu baadaye!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mkwe cacico, muhimu sana nisije kosa mwali bure,,,kisa eti mi dhaif lol
nakutunzia usijali! yaani utamkuta pure sealed, hakuna hata mikwaruzo! we endelea na hawa, mke halali, nakuwekea. kwa kweli udhaifu hauhuu ebo!
 
Kaizer hahhaha unanichokoza kishingo upande kivipi.....kwanza umeshaenda pamoko(ushakula lunch)

apo CUTE bado time bana...asante kunikumbusha..au wewe upo mashariki ya mbali?
 
Last edited by a moderator:
utafakariji mwema and dont forget to "Be an example.." 1 Timothy 4:12

Mh..hahah..apo umeniweza...i will pm u my thots...nsijeharibu heshima jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…