Ngoja nimsubiri Erotica atasemaje,,,,mimi kweli, yaani mimi Elizabeth Dominic?
teh teh teh. yet u cant let go? balaa lake naliona kama hajitambui vile! ananisingizia :wink2:
We acha tu...........hujui saa zingine vitu vingine bora viachwe bila kusemwa.....lol
Erotica ndio bookkeeper wako........wanchekesha tusema ndio ana keep count ya vyupa eti Kaizer?Ngoja nimsubiri Erotica atasemaje,,,,mimi kweli, yaani mimi Elizabeth Dominic?
teh teh teh. yet u cant let go? balaa lake naliona kama hajitambui vile! ananisingizia :wink2:
We acha tu...........hujui saa zingine vitu vingine bora viachwe bila kusemwa.....lol
yaani Erotica, bora umetambua kuwa sijitambui...sema kwa nn sijitambui? Ndo udhaif wenyewe...sitambui na sijajitambua wala kutambua kama Elizabeth Dominic naye anatambua hivyo...lol
teh teh teh. Kaizer umenichanganya na kunifanya nishindwe kutambua kama
nilikuwa na say ya kusema hujitambui kwa Elizabeth Dominic ambae apparently
anatambua utambuzi wako kama ni wakujitambua ama kutotambua. πray: πray: :wink2:
Utasubiri sana.......................waiting.....................
Udhaifu umezua jambo............sikujua hii hoja udhaifu kama ni pana kiasi hikihahaha Elizabeth Dominic, Erotica kwa hapa ndo nilitaka ashuhudie ile kweli...ashuhudie udhaif wa kushindwa kusema mengine....lol
teh teh teh. Kaizer umenichanganya na kunifanya nishindwe kutambua kama
nilikuwa na say ya kusema hujitambui kwa Elizabeth Dominic ambae apparently
anatambua utambuzi wako kama ni wakujitambua ama kutotambua. πray: πray: :wink2:
Udhaifu umezua jambo............sikujua hii hoja udhaifu kama ni pana kiasi hiki
teh teh teh. nikwambie? :thinking: