Wana CCM wamtolea uvivu Dkt. Bashiru

Mimi namwona shujaa kwa kuwakata watu kama Andrea Chenge bila kujali walishinda kura za maoni.
Haki ya mtu kamwe haipotei bali ucheleweshwa tu
 
Ni kweli kabisaa ya CCM yawekwe wazi, , na ndivyo hivyo hivyo ambavyo tunaomba Nyalandu afunguke kama bata kesho.
Haitasaidia kitu maana cdm hakuna makando kando wala hakuna makundi kama ilivyo sasa hivi ndani ya ccm.
 
Tusubiri Nyalandu kesho atasema nini Radio Clouds. Mungu amjalie afya njema na uzima kwa ajili ya Kesho asubuhi.
Hata akisema nini hayo yatakuwa ni ya cdm.
Matatizo ya cdm hayawezi kufuta uozo wa ccm.
 
Usiwe na wasi wasi; hawa ndio waganga njaa wengi waliomo ndnai ya CCM. Wataibuka wengi sana kipindi hiki ambacho CCM inarudi kwenye mfumo wake wa ulaji na uganga njaa. Juzi tu umesikia Nyarandu karudi CCM; utawasikia wengi wa "kukosoa" CCM ya zamani ambamo wao wenyewe walikuwa wanachama, na wale waliohamia kwa jirani ila wakia mguu mmoja ndani na mguu mmja nje.

Nadhani ile network ya kumwua Magufuli ilikuwa ni pana sana. Kwa siku za mbele, ulinzi wa afya ya raisi usiwe kwa askari wenye bunduki tu; sindano moja ni silaha kubwa sana kuliko kombora.
 
Mnafiki mkubwa,mbona hayo hakuyasema siku za nyuma, mbona hakusema kuhusu mafisadi waliofanya mali za CCM ni mali zao, tunjua ni mlamba viatu wa Ri1, safari hii mtatumika sana kama Dume kon...mu
 
Mnafiki mkubwa,mbona hayo hakuyasema siku za nyuma, mbona hakusema kuhusu mafisadi waliofanya mali za CCM ni mali zao, tunjua ni mlamba viatu wa Ri1, safari hii mtatumika sana kama Dume kon...mu
Mkuu ukiona maumivu yanazidi basi meza panadol maana ndiyo game yenyewe ipo dakika ya 5 tu kipindi cha kwamza.
 
Wanaccm hawaachiani Maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Naona wewe ni kati ya watu aliowasema rais kuwa mnataka kulichafua taifa kwa maneno ambayo hamna ushahidi nayo.

Ukiambiwa uje uwataje walio fanya hilo tendo utadhibitisha?
Wacheni kujitoa ufahamu kwa kuendekeza njaa na chuki za kijinga.

Mkae mkijua kuwa serikali inao mkono mrefu sana kuweza kukukamata
 
Ukweli wanaouongea sasa, ungekuwa na impact sana nyakati zile. Kwasasa tunawaona wanafki tu.
... not too late to make a brighter future for our children!
... NO SANE PERSON WILL TRY TO SILENCE THE PEOPLE ABOUT JIWE, & CO, NONSENSE!
 
Mugambo wanaruka na kukanyagana.....wanaruka kinyama....
 
Hivi ni Bashiru aliyefanya hivyo au JPM?
Mimi nilifikiri kuna kikao kiliitishwa kwa ajili ya kumujadiri Dk. Bashiru wakati hiyo si kweli - sasa mleta taarifa hizi anaposema wana CCM walimtolea uvivu wananaanisha nini kama sio mtu mmoja tu mwenye chuki binafsi analeta adithi za kufikirika tu zenye lengo la kumwaribia sifa Bashiru - wako wengi hawa na crusade yao against Bashiru hiko well organised!!!
 
Leo hii anajuta sana kumtegemea binadamu mwenzake.
Unasema mambo gani lakini - kama Bashiru maisha yake yote angekuwa anategemea binadamu wenzake basi shahada ya PhD angekuwa anaisikia Redioni tu, hana - wakati mwigine tujifunze kubakiza hakiba ya maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…