Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

Wana CCM tupo ngangari kelele za UKAWA hazitupi tabu tutahahakikisha tunaibuka kidedea tena na tena Dr. SLAA karibu CCM achana na Chama Cha Wachaga hicho. Kimsingi tunasubiri kuapishwa tu, nyie mtabaki kulia lia tu. Ccm daima
 
Nashindwa kuelewa mtu anayeshabikia CCM baada ya haya madhambi kwa nchi na watu wake. Sijui nimwite nani, mshenzi,muhuni,mchumia tumbo,msaliti.....
Nashindwa kuelewa kabisa,kwa haya yote ccm walichofanya kwa miaka 50 bado mtu unataka kuchagua ccm.

Kati ya jk na lowasaa nani fisadi??
 
wewe ni mpuu.zi kwa kiwango kikubwaaaa mno yaani umenikera zaidi ya CDM kumpokea mamvi
 
Nashindwa kuelewa mtu anayeshabikia CCM baada ya haya madhambi kwa nchi na watu wake. Sijui nimwite nani, mshenzi,muhuni,mchumia tumbo,msaliti.....
Nashindwa kuelewa kabisa,kwa haya yote ccm walichofanya kwa miaka 50 bado mtu unataka kuchagua ccm.

Kati ya jk na lowasaa nani fisadi??

Muulize mwenyekiti wenu aliyeuza chama kwa mzee wa Monduli.
 
Washikamane na mzee yussuf na wema shilole na wajinga wasio jifahamu ccm
 
Hayatapita kamwe, damu ya Mwangosi na wengine itawatafuna usiku na mchana, tubuni, rudini chadema
 
Ccm itashinda kwa kishindo ikibidi kwa goli la mkono, nchi hii si ya UKAWA kamwe
 
chama ni uumbaji wa mwanadam, alipokiumba aliweka miongozo ya namna ya kukiendesha.vyama vyote vnamingozo mizur.Tatzo ni waendeshavyama.siku zote viongoz ndo huharibu mambo,wananch hupata madhara...Yatupasa kuacha tamaa,kujali umma,kushirikisha wananch kwa mambo yenye madhara hasa ya kuaminika/probable.Ccm yenyewe iko poa,viongoz wanaichafua ,so tatizo sio ccm,tatizo ni watu.
 
kwa mambo yanavyokwenda kama mwana CCM naanza kupata wasi wasi wa ushindi ikifika oktoba 2015, kwa ukweli upinzani safari hii naona kama wamejipanga haswaaaa
 
Nawaomba kwa dhati wanachama wa CCM tushikamane kwa nguvu zote kipindi hiki kuelekea uchaguzi yatasemwa mengi sana kuhusu chama chetu na viongozi wetu tusiwape nafasi wabaya wetu wanaopanga kutuangamiza kwa maneno ya UONGO. Wale MAFISADI waacheni waende kwenye vyama dhaifu (vyama vya UKABILA na UDINI). CCM ndo chama dola na itaendelea kushika dola milele na milele

Mnasikia matumbo ya hiyari sio!? Mwafwaa mwaka huu!
 
Lowassa kitu gani alishindwa mrema na hakuwa na kashifa ngoja kampeni zianze utafurahi mwana ccm mwenzangu.
 
kwa mambo yanavyokwenda kama mwana CCM naanza kupata wasi wasi wa ushindi ikifika oktoba 2015, kwa ukweli upinzani safari hii naona kama wamejipanga haswaaaa

Usihofu safari hii ndo ccm inashinda kirahisi mno.Usitishike kwa lolote unaloliona au kusikia.CCM tunafanya siasa za kimkakati.
 
Sapoti ya kicheko ni bora kuliko kusaidiwa kilio 25.10.2015 nazani sio mbali tumuombe mungu.
 
Back
Top Bottom