China na india zina ukubwa gani? zina watu kiasi gani? wametoka katika hali gani na wapo katika hali gani?Naku-support mkuu 100%, ni kweli kabisa, na nafikiri ukiacha ufisadi janga lingine linalopaswa kutibiwa haraka iwezekanavyo ni huko kuzaliana hovyo wakati uwezo wa kutunza haupo, sioni hatari tukichukuwa hatua kama china, tuweke limit ya idadi ya watoto (siyo lazima iwe mmoja kama china) ili wale wachache watakao zaliwa waweze kukua kwenye mazingira bora.
China na india zina ukubwa gani? zina watu kiasi gani? wametoka katika hali gani na wapo katika hali gani? !!!
nilichojaribu kusema ni kuwa
watu wachukulie kuwa afya zao ni muhimu
kuliko kununua khanga au hereni za dhahabu...
zipo dispensary nyingi za binafsi za bei nafuu.....
sio lazima kila mtu akasuburi huduma
ya bure mwananyamala au amana.
mimi binafsi nawajua wamama kadhaa ambao
wana uwezoa kwenda kwenye dispensary
za binafsi za bei nafuu,but wanaenda
hospitali za serikali kwa kila tatizo lao.
wapo kweli masikini wasio na uwezo
but sio wote,wengine ni mazoea ya
huduma za dezo.
Mjinga wewe uliyehamia Chadema ukiamini cheo cha Zitto KABWE utapewa weweEti na huyu mjinga anajifanya kuwa kwenye kundi la great thinker. Nachelea kutoa tusi. Mungu nisaidie nipe uvumilivu..............
Wazungu wakitutukana sisi Manyani tusilalamike!Hawaamini kuwa tunaweza kusort out hili tatizo!Tuko tayari kununua Phd fake,kuendesha FWD ,na corruption./ufidadi etc!
Hata wakinamama Wabunge ndio hovyo kabisa.Mwanamke ana moyo,lakini no body cares plight ya wanawake wenzao hapa.CCM inanunua magari zaidi ya 200!
Hizi pesa zinaweza kununua vitanda,hata kujenga maternity wards !
Shame on me,shame on you ,i am sick to death watu wanalia crocodile tears kwa kifo cha Kawawa!
Niko tayari kutoa machozi kwa hawa akina mama watanzania wenzetu ambao hawana
uwezo!
Hivi hujui kuwa wa-TZ ni manyani, na akili zilishapiga kutu miaka mingi iliyopita? T-shirt, pilau na pombe za kienyeji zinatosha kabisa kutusahaulisha adha tulizonazo!! kama huamini subiri matokeo ya uchaguzi mwakani!!
aaargh! hizi picha zinapandisha munkari! this iz veri tuu machi, hako kadada kamevaa jinzi kamependeza lakini.
beki to za topik. waziri ajiuzulu
Nduli ni mwajiriwa wa Serikali, asingeweza kukataa haki yake ya kupewa nyumba. Angekuwa mwanasiasa anayetafuta umaarufu ningekuelewa. Pia, aliyepitisha ujenzi wa hekalu hilo si Ndulu. Ni Balali, na ukapata baraka za Bodi ya Wakurugenzi.
Mbaya zaidi hiyo ni hospitali ya wilaya DAR ES SALAAM.
Can U even imagine hospitali ya wilaya say LINDI, MTWARA hali ikoje???
Hivi sisi watanzania hata aibu hatuna kweli kununua mashangingi zaidi ya 1,000 kila mwaka ambayo nina uhakika pesa hizo zingeweza kabisa kuondoa tatizo la angalau vyumba vya dada zetu kuweza kujifungulia salama.
May God Bless Tanzania
Tatizo jingine ni watu kukimbilia mijini wakati uwiano wa kitanda kwa mgonjwa hauna kasi ya uhamiaji wa mijini.