Kamanda Dkt.
Kitila Mkumbo wala usipoteze muda wako kuwajibu hawa Buku Saba FC. Kuanzisha threads na kujazana kujibizana wenyewe ndio ajira yao kwasasa kwakuwa wingi wa post zao hapa JF ndio posho inaongezeka.
Endelea kufanya kazi zako za kujenga chama na kuwaelisha wananchi wenzako wa Iramba kwa utaratibu ule ule uliojiwekea siku zote.
Mwigulu Nchemba anakuogopa sana ndio sababu ameajiri watu hapa JF kwa kazi maalum ya kukuchafua na yeye mwenyewe akishiriki nao bega kwa bega kwa kutumia fake IDs!
Chadema inawanyima magamba usingizi na wamesahau kuwa walikuwa wanatamba kuwa ni chama cha msimu lakini sasa muziki wa Chadema maccm yameshindwa kuucheza yameamua kulialia kama makinda ya bundi!