Wana CCM Iramba waja na Operation Chakaza Mkumbo(OCM)

Wana CCM Iramba waja na Operation Chakaza Mkumbo(OCM)

Mkuu Kiula endelea kuratibu Maeneo ya Kinampanda na Kyengege na Makunda.....tukutane Misigiri Friday kufanya tathimini....Iramba siyo Ar mjini
 
Sisi tunatekeleza chakaza CDM Iramba nyie endeleeni kupiga keyboards mkiwa kinondoni sie tunapambana vijijini. Sie ni Askari wa ardhini nyie endeleeni kupanda ndege.....lakini kazi inafanyika
 
ina maendeleo gani au unaona raha kubonyeza keyboard na kuandika matapishi humu badilika.
 
Ongereni wana Iramba, kweli mnastahili sifa kwa ubunifu wenu wa hiyo operesheni.

Nadhani hili ni jambo la kuigwa, tena hasa kwenye majimbo yanayo milikiwa na CHADEMA.

Kwa mantiki hii, acha nianze na Kawe na Ubungo kwa hapa Dar ili tuondoe kabisa vurugu bungeni mwaka 2016.
 
do! hayabana hili ndilo linalotuponza dodoma na singida tunaogopa mno mabadiliko na yakitokea tunaogopa kuendelea nayo kwa muda mrefu matokeo yake tumebaki kuwa wa mwisho tukipokezana we utakuwa wapili kutoka mwisho na mimi wa kwanza kutoka mwisho.
tumefungwa na maneno mazuri ya wana siasa waongo wasio kuwa tayari kuona tunabadilika na kutoka katika umaskini tulionao.
tumekuwa watu wa kuhukumu haraka kwa kosa linalobebewa bango na watawala na kusahau kuwatadhimini wao wamefanya maovu mangapi?
tumeanza kufikiria kuwa eti tunatawaliwa na wachaga ili iweje? kweli tumefika sipo! jipangeni lakini kampeni za kuwatisha watu na kuwakumbusha watu matukio yaliyo waumiza ni kuwadhurumu haki yao acheni hizo .
kibaya zaidi mnakumbusha machungu na hasira ambazo mnajua zitawaumiza familia iliyo jeruhiwa.
 
Iramba ni yawairamba na kwa hakika hata movement for chaga Iramba haiwezi kufua dafu. Mkumbo Hana chake namimi nipo kata ya Mtoa nikiratibu hii operation nikianzia nyumbani kwake Mkumbo hapa Mgela....hatulali wapenda Amani wapo kata zote 17. Mi ndio mratibu mkuu wa operation hii....viva CCM
piga kazi mzee tumechoka kuvurugwa na siasa za maguvu na uchochezi safi sana mungu awasimamie wanairamba wote kama huyu lisu kaoa huko chaga kivyake,
 
wasiwasi wangu ifikapo 2015 mikoa inayojiita m4c tutapata vilema wengi wajane wengi na mayatima wengi sana MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRICA
 
Hatimaye mmeingiza buku saba yenu hongereni sana
 
Mkuu Leomini tukimaliza Iramba tutahamia Ikungi kwa Tundu Lissu......
 
Mapovu yoote mwisho wa siku mnalamba buku saba tu

wewe sisi bei yetu ni Uzalendo,hakuna kumi ya kutununua we are serious never to let this innocent county to be torn apart by this terrorist group
 
Sie tunafanya kazi ya kujitolea Mungu atatulipa......
 
Ni faraja sana unapoona watu wanaojitambua na kukataa kutumiwa kwa manufaa ya watu ambao wanaonekana pale wanapowahitaji. Huyu binadamu anayeitwa Kitila Mkumbo alikuwa wapi mwanzo mpaka sasa ndiyo anaikumbuka Iramba?.

Iramba niya wana Iramba na siyo watembezi ambao vumbi la chalk limeanza kuwachosha na kimbilio linakuwa ni kuwalaghai wanaIramba ili wapate upenyo kisiasa.

Binadamu hana bei achilia mbali ulaghai wa kisiasa.

Hongereni sana.
 
Back
Top Bottom