Wana CCM Iramba waja na Operation Chakaza Mkumbo(OCM)

Wana CCM Iramba waja na Operation Chakaza Mkumbo(OCM)

Nimefurahishwa sana juhudi zenu kukataa kutumia damu zenu kujengea vimada mahekalu, naombeni makamaradi wa Iramba nitafutie picha ya yule marehemu aliyeuwawa kwa mawe na wafuasi wa CHADEMA niiprint kwenye mabango makubwa ili muwaoneshe wananchi wa Iramba ushenzi wa chama hiki.
Hiyo picha hautaweza kupatiwa kwani itaonyesha ushenzi wa Mbunge wa jimbo hilo kwa kualika wauaji kutoka Dar waliofanya mauaji hayo ambao sijui kesi yao imeishia wapi hadi sasa.
 
Mikakati mikali ya kutokomeza element zote za Chadema aka Magwanda zimeanza kila kitongoji kwa wananchi wenye Mapenzi na Uzalendo na nchi hii kuhakikisha chadema na hasa Dr Kitila Mkumbo,kuhakikisha kuwa hawaruhusu jimbo hill linalokua kwa Kasi kimaendeleo halivurugwi na siasa za Fujo na chuki katika Iramba,

Wananchi kwa umoja wao wamedhamiria kuhalikisha Chadema haipati hata balozi ktk uongozi,tayari vitongoji wote wanapita nyumba kwa nyumba kulaani siasa za kuligawa taifa za chama hiki


It is just a matter of time ..wana SINGIDA wanakwenda kupeleka bungeni KICWA kingine DR KITILA MKUMBO.........baada ya wamama na wababa wa SINGIDA kumleta bungeni Kichwa DR TINDU LISSU.......

HIYO NDIO SINGIDA inao wana mapinduzi na sio walamba viatu wanaoaibisha matumbo ya kinamama wa Singida.
 
naona unamwangukia majeruhi kitila..nawapongeza wanairamba kwa kufanya maamuzi sahihi...SAY NO TO MAUAJI NA SUMU

Sawa mkuu wa masalia naona unafurahia posho unayopewa na mwigulu. Juzi mmenusurika kichapo tabora kwa kuongea utumbo mbele ya watu wazima.
 
Tumechoka kuona taifa linagawika kisa Movement for Chaga inataka madaraka,sasa kwa hakika vijana wamehamasika kila kata

mnapenda sanaa kutaja chagga hata kwa ugomvi wenu wa nyumbani.. hii tabia mnoyoendekeza ni mbaya na itatupeleka pabaya. mnajenga taifa ambalo ni la kibaguzi. hii dhambi unayoifanya itakuja kutuletea mauaji ya halaiki hapa tz. wanaz nao walianza hiv hiv thidi ya wayahudi mwisho wake ikawa genocide, rwanda nao walicheza hii ngoma watusi na wahutu mwisho wake ikawa intarahamwe.

Ogopa mungu na ogopa chuki unayoipandikiza. HII TABIA SI YA KUCHEKEA HATA KIDOGO. MOSHI VIJIJINI, SIHA, ZIPO CHINI YA CCM. JE MOSHI VIJIJINI WANAISHI WANYERAMBA!?????
HILII BOMU MNALOLITENGENEZA LITAKUJA KULIPUKA SIKU MOJA NA HAPATAKALIKA. HAO JAMAA UNAOWACHOKOZA WAKO PEACE NA HAWANA SHIDA NA MTUUU, ILA UNAWAPA SABABU YA KUJIHAMI. HII TABIA NI MBAYA NA NAIOGOPA. NENDA TUU HAPO CONGO M23 INA WAPIGANAJI KAMA 10,000 NA HAPATOSHI. HIVI KILA MCHAGGA AKANUNUA AK 47 ILI KUJIHAMI NA CHUKI MNAZOZIJENGA BATAKALIKA?!!!

CHUKI UNAYOIONYESHA KWA WACHAGGA NI KWA SABABU WANAONEKANA WANA MAENDELEO WATAFUTAJI NA WAPO KWENYE HARAKATI ZA KISIASA. SWALI LA KUJIULIZA JEE WACHAGGA WOTE WANAIUNGA MKONO CHADEMA? jibu ni hapana? je wachagga wote ni wanasiasa jibu ni hapana? je hakuna wanaharakati wengine ambao ni mahiri na makini kama kina zito kabwe, tindu lissu, simbachawene, mpina, ambao si wachaggga..???!!! sasa hii chuki unaitoa wapii??!!!

tanzania ina watu zaidi ya milioni arobaini ila ukipata wapigana elfu kumi tuu wenye silaha za kisasa, hapatakalika.
TANZANIA BADO NI KUBWA SANAA NA YEYOTE ANAYEITAKIA TANZANIA MAENDELEO HAWEZI KUKUBALIANA NA SIASA HIZI ZA MAJI TAKA NA WORSE ENOUGH MMEANZA KAMPENI ZA KUENEZA UBAGUZI KWA MISINGI YA DINI NA UKABILA..
ulaaniwe wewe na wote wenye tabia hiii
 
MkuuvMchegell,

I like your post. Cha ajabu viongozi wengi wa magamba wanaona propaganda hii sawa na itawatoa lakini wamesahsu madhara yake.....hali hii isipokemewa italeta maafa nchi hii.
 
Mtaji mkubwa wa CCM huko iramba siyo udhaifu wa Chadema, bali ni ujinga wa wana iramba. Hongereni Magamba maana ule usemi usemao wajinga ndio waliwao umetimia.
 
Inaonyesha Mkumbo tayari presence yake ni thread tayari,mpaka anawekewa operation.Nashukuru kwa jinis mnavyowesha jieleza vyema.
 
Pambaneni na ujinga maeadhi na umaskini mkipambana na mkumbo mnajisumbua mwenzenu yupo kazini aliongea kwenyejukwaa anaingiza pesa.
 
M4c ndo nini,

huwezi jua maana umefungwa kifikra na ccm.ili usiweze kuona neema kwa mana ya keki tuliopewa na mwenyez Mungu tutumie wote lakini inaliwa na viongozi wasio waadilifu,bakini wenye upeo mdogo wa kufikiri,
 
Chief Nduka nakuahidi utaipata picha ya mzalendo aliyeuawa na hawa Freemason

hyo kesi ya mauaji imemwangukia mbunge wenu ndie alikodisha watu wakavuruge,ila ung'amuz wa binadamu ni mgumu ila ukweli kwa Mungu upo,majibu tutayaona tu hapa hapa duniani,
 
Iramba ni yawairamba na kwa hakika hata movement for chaga Iramba haiwezi kufua dafu. Mkumbo Hana chake namimi nipo kata ya Mtoa nikiratibu hii operation nikianzia nyumbani kwake Mkumbo hapa Mgela....hatulali wapenda Amani wapo kata zote 17. Mi ndio mratibu mkuu wa operation hii....viva CCM

wewe ndg tumia akili kufikiria ,wacha kutumia makalio kukomboa utambuz wa akili yako,badilisha systerm sasa,wakati ni huu,nilikuwa najaribu kufikiri na kugundua warubuniwa na pesa ya chakula,dhambi kubwa mnaipata kwa kuwadanganya watu wa vijijini,
 
Comrade Shelui huku kaselya,nsonga na maeneo tote ya kinampanda watakuwepo Lunzu,tumeapa hatulali mpaka hawa wauaji waache kabisa kutugawa watanzania

huwa nasikia kinampanda kuna wasomi,mwenendo wenu wa kuwadanganya wazee na wengne kwa kinampanda mtaweza kweli.pale kuna waelewa,bakini huko kijijini,
 
Ama kweli wahenga walisema "Kipenda Roho hula nyama mbichi" bila kujali kama ina tegu au minyoo mingine hatari. Hongereni wana Iramba. Mnakula nyama mbichi mkidhani kuwa inawaletea "afya" (maendeleo) kumbe "tegu" (umaskini)
mtindo moja. M4C ninawaomba nendeni Iramba, watu wetu wanaangamia kwenye umaskini kwa kukosa wa kuwasaidia.

afadhali uwaambie hawa vijana wasokuwa na fikra endelevu za kutoka kwa mkoloni mweusi,afadhali hata mzungu alikuwa anasimami sheria,kuliko hawa vijana wenye kula mbich nyama na kusema ari nguvu na kasi ya wizi wa mali ya uma,
 
Na kama mnafikiri wanyiramba ni wepesi njooni wote mkae mwaka mzima muone,wanyiramba sio wepesi,mnajifanya mnakomboa watu,tuambieni tundu lisu amekomboa nini singida,msigwa amekomboa nini iringa,sugu amegkomboa nini mbeya,Lema amekomboa nini Arusha,Mnyika amekomboa nini Ubungo,wote wachumia tumbo

wewe una hoja dhaifu sana,huyo unaemsifia amekuolea dadako kafanya nini,mwenye siasa za chuki kama tak.o lenye kukaliwa kila siku lakini linashndwa kuongea tu,ni sawa na wana ccm walivyoshndwa kuongea,wananyonywa wamekaa tu.
 
Tumechoka kuona taifa linagawika kisa Movement for Chaga inataka madaraka,sasa kwa hakika vijana wamehamasika kila kata

Ingekuwa mie mchaga, ningeondoa wachaga wote CCM kwa kuwa hiki ni chama kinacho chukia na kudhalilisha wachaga.
 
Mikakati mikali ya kutokomeza element zote za Chadema aka Magwanda zimeanza kila kitongoji kwa wananchi wenye Mapenzi na Uzalendo na nchi hii kuhakikisha chadema na hasa Dr Kitila Mkumbo,kuhakikisha kuwa hawaruhusu jimbo hill linalokua kwa Kasi kimaendeleo halivurugwi na siasa za Fujo na chuki katika Iramba,

Wananchi kwa umoja wao wamedhamiria kuhalikisha Chadema haipati hata balozi ktk uongozi,tayari vitongoji wote wanapita nyumba kwa nyumba kulaani siasa za kuligawa taifa za chama hiki

Kumbe Kitila Mkumbo ni tishio kiasi hiki?, Basi hata rafiki yangu aliyekuwa anajipanga kupambana na Mwigulu namshauri amwachie Kitila.
 
Hivi kwa nini Iramba ni moja ya wilaya masikini sana hapa Tanzania?

Hujafika Iramba wewe:
Kwa muda mfupi tu wa Ubunge wa MWIGULU,
1. Kila nyumba ina umeme na maji;
2. Jimbo zima barabarazote ni rami, kasoro kilometa 3 tu!
3. Hakuna nyumba za majani;
4. Kuna vyuo vikuu vitatu, Veta 5 na vyuo vingine 9;
5. Majengo ya kisasa kuliko nairobi;
6. Hakuna kijana asiye na ajira.
7. Watu wote wanasali dini zote.
8. Hakuna mtu ambaye hajasoma mpaka form 6. n.k.
 
Nimejaribu kupiga code za kawaida tu hapa, na kugundua comments nyingi humu hasa za page ya kwanza zinatoka kwenye IP adress inayofanana lkn ID's tofauti...!! Poleni sana kwa utumwa huo
 
Back
Top Bottom