Wana CCM Iramba waja na Operation Chakaza Mkumbo(OCM)

Wana CCM Iramba waja na Operation Chakaza Mkumbo(OCM)

Mbona wote munatumia laptop ya Lameck ?

Hiyo ilikuwa mwaka juzi!.. Hivi sasa kila mwanafunzi (kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu cha Iramba) na tena kuanzia mwaka huu hakuna mtu maskini. CHEZEA ushahidi wa mbinguni wewe!
 
Mimi sikubaliani na wewe wapinzani hasa chadema wametuletea vurugu,kero,mandanpmano na kutoheshimiana na ujasiri wa kutukanana bila sababu.

Heshima gani unataka?Uamkiwe 'shikamoo'?Tembo wanakwisha,twiga wanakunjwa kwenye ndege,wizi wa EPA,Rich-monduli,mabilioni ya uswizi,Mtwara wanapigwa risasi,form IV hajui kusoma na kuandika.Tafakari,CHUKUA HATUA.
 
Iramba ni yawairamba na kwa hakika hata movement for chaga Iramba haiwezi kufua dafu. Mkumbo Hana chake namimi nipo kata ya Mtoa nikiratibu hii operation nikianzia nyumbani kwake Mkumbo hapa Mgela....hatulali wapenda Amani wapo kata zote 17. Mi ndio mratibu mkuu wa operation hii....viva CCM
mkuu endeleeni kutumia umasikini wa wana iramba kuwarubuni! Mola atawaadhibu siku moja!
 
Makamanda wenzangu nilazima tujipongeze kwa mafanikio makubwa haha,wala hakua kukata tamaa. Kwa sass Iran a wameanza kuelewa chadema ni nini. Jana ilikuwa zero Leo moms bola Dhaka kesho itakuw mbili
 
Na ndio maana Wanyiramba Maskini sana, kwasababu ya kuku bali kumkumbatia MKORONI MWEUSI CHAMA CHA MAJAMBAZI
 
Ni rahisi sana kuishinda Chadema waungwana kama kungekuwa na zahanati zenye madawa, visima vya maji vya kutosha , barabara nzuri , shule nzuri zenye kutoa elimu bora , mipango bora kwenye kilimo na ajira mbalimbali kwa vijana hapo Iramba mtagundua kwamba wanachama na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi mngekuwa busy kwelikweli na wala hata msingepata muda wa kupambana na Dr Mkumbo kwakuwa angekosa cha kusema jukwaani na nyie mngekuwa mnapambana kwenye shughuli za maendeleo na wana Iramba.....hizo OPERATIONS na MOVEMENTS zote zinatia mashaka kwakweli

UMENENA.Lakini unaowaambia wana macho lakini hawaoni walishapofushwa na kitu kidogo.
 
Back
Top Bottom