Yule ni raisi wa nchi,hapaswi kuropokaAcha uchochezi we Kubenea. Unadhalilisha taaluma ya uandishi wa habari maana siku zote habari zako zimejaa majungu tupu. Umeshindwa kuuona uchochezi unaofanywa na akina Slaa, Mbowe na Msigwa kwenye majukwaa kila siku, umeiona kauli ya Kikwete tu. Laanakum sheitwan mk...ubwa wee!
Hao wanaofanya hayo maovu,
Hao wanaojiita Makamanda,
Hao wanaojiita Red Brigade,
Hao wote wanaongozwa na watu,
Watu hao ni Mbowe na Slaa Mkiti na Katibu wa Chama,
Washitakiwe hawa kwanza na wabunge kama Msigwa,Kasulumbayi na Lema hawa wamesababisha vifo,fujo na majeraha yasiyopona.
Mathalani watu wamekatwa mikono utamlipa nini masikini huyu kinacholingana na mkono wake? Kisa chadema.
Kuna watu Bugando wamenyofolewa Macho,utamlipa nini mtu huyo ili aone haki imetendeka? kisa Chadema.
Stahili ya mauaji,fujo,mapanga,Tindikali,uvamamizi na nondo ndio demokrasia?
Washitakiwe Mbowe na Slaa,Lema,Kasulumbayi na Msigwa ili haki ipatikane.
wapambane kwa hoja basi,sisi hatutaki lawama,wote hawa washenz tuh,kwan wenzao huko zanzibar walitumia njia gani,si wajifunze kutoka kwao..!!Wanachotaka cdm ni vita ili wajumuishwe kwenye mseto Wa serikali
Acha uchochezi we Kubenea. Unadhalilisha taaluma ya uandishi wa habari maana siku zote habari zako zimejaa majungu tupu. Umeshindwa kuuona uchochezi unaofanywa na akina Slaa, Mbowe na Msigwa kwenye majukwaa kila siku, umeiona kauli ya Kikwete tu. Laanakum sheitwan mk...ubwa wee!
Na Said Kubenea
JAKAYA Mrisho Kikwete, mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa, anapaswa kushitakiwa kwa uchochezi.
Akifungua mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya chama chake mjini Dodoma leo, Kikwete alichochea wanachama wa CCM kuwapiga wapinzani kwa kudai kuwa, Uvumilivu una kikomo.
Amewataka wana CCM kuacha unyonge kwa madai kwamba wapinzani wamekuwa wakiwapiga huku wao wakisubiri polisi kuchukua hatua za kisheria.
Hii ina maana kwamba, Kikwete ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, amewataka wanachama wa CCM, kuchukua sheria mkononi. Ametaka wananchi kuumizana, kupingana na kuuana. Huu ni uchochezi unaoweza kuingiza nchi katika machafuko ya kisiasa, kidini na kijamii.
Kama Kikwete alitaka urais, bila shaka alijipima na kujiona anaweza kufanya kazi hiyo. Kama alikuwa anajua anakwenda Ikulu kujaribu, basi alikuwa amekosea. Ikulu siyo sehemu ya kujaribu.
Kauli ya Kikwete ya kutaka wananchi wajibu mapigo, ni ishara kwamba ameomba kazi ambayo haiwezi.
Rais wa nchi hawezi kuchochea raia wake kupigana. Anapaswa kutumia vyombo alivyonavyo kusimamia sheria.
Ni lazima akumbushwe kwamba nchi hii ikiingia katika machafuko au mauaji ya halaiki, yeye ndiye atakuwa wa kwanza kuulizwa. Anaweza asiulizwe na vyombo vya sheria vya hapa, lakini ataulizwa na vyombo vingine vya dunia.
Huyu Kubenea ni Mtanzania kweli!?
wapambane kwa hoja basi,sisi hatutaki lawama,wote hawa washenz tuh,kwan wenzao huko zanzibar walitumia njia gani,si wajifunze kutoka kwao..!!
Ile cd ya mauaji ya watanzania wenzetu huko arusha hadi leo wameikumbatia hawataki kuitoa,damu zinamwagika shauri yao hawa wapuuzi then wanajivika utetez wa wanyonge,roho mbaya sana wapuuz
Mbona hukusema haya wakati wana CCM wamechomewa nyumba, wamekatwa mikono na kutolewa macho huko kahama?
Mbona hukuwashitaki Mbowe na Slaa wanaotembea kwa chopper kushinikiza ngumi na mapanga kila siku?
Mchochezi ni nani? Umemwelewa JK we Kubenea au ni muendelezo wa majungu yako ya kukosa kuteuliwa nae tangu 2005?
JK hakumaanisha mapanga wala ngumi, na kama unapenda haki dhidi ya wachochezi basi faili la kwanza Mahakamani washitakiwe Mbowe na Slaa pamoja na wabunge wao kwa uchochezi na utekelezaji wa mauaji.
Nenda Bugando Mwanza ukawaone majeruhi ndo uje uandike makala yenye haki.
Kubenea unajiaabisha.
Hata wao chadema watakushangaa kama unasimama kuwatetea.
Ushahidi wa mwanzo ni namna wananchi walivyoamua kuwakataa kupitia kura na kuambulia kata 3, je unadhani hiyo ni kawaida?
Kubenea vua miwani ya ushabiki uitendee haki kalamu yako.
Hapa hatushindani kuorodhesha maovu wanayofanyiwa wafuasi wa vyama, kikubwa hapa ni kuwa JK kaongea kama RAIS na AMIRI JESHI MKUU.
Acha uchochezi we Kubenea. Unadhalilisha taaluma ya uandishi wa habari maana siku zote habari zako zimejaa majungu tupu. Umeshindwa kuuona uchochezi unaofanywa na akina Slaa, Mbowe na Msigwa kwenye majukwaa kila siku, umeiona kauli ya Kikwete tu. Laanakum sheitwan mk...ubwa wee!
kuwa makini na mabandiko yako mkuu! Siku moja utajitahidi kuyakana. Lakini itakuwa "too late"... Hata km ni hasira, pia ni wengi wenye hizo hasira. Tena ni wengi wenye "uchungu na hii nchi"