Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Tukichochewa na kuanza kuraruana Kagame atatupiga kirahisi. Huyo JK na familia yake watakwea ndege kwenda kuishi ughaibuni. Watanzania wangapi wanaweza kuishi ughaibuni achilia mbali kuwa na hati za kusafiria. Watanzania na nyie wana-CCM tusiwe madodoki ya kufyonza kila uchafu.
 
kauli hiyo ya mkuu inamaanisha kwamba tayari kimenuka , tunachosubiri ni kipyenga tu .
 
Aisee me mwenyewe mpaka mda huu najiona nipo ndotoni.
Nimejaribu hata kujifinya, lakini akili haikubali kwamba nimemwona akiyatamka hayo kwenye taarifa ya habari.
Hahahaaaa mbavu zangu jamani Poleni wanachi wa Tanzania kila mnapoambiwa achaneni na CCM mmeshupaza shingo kama pila la MSALANI sasa mnaona huyo mliempa Urais anakowapeleka?Niliwaambia watakaoleta vita Tanzania ni CCM watu wakabisha haya sasa vita imeshatangazwa na huyo msera inya,ni mpinzani gani aliyetangaza vita? Tena nakumbuka kuna Bwana mmoja alisema humuhumu Rais wangu ananilazimisha kupigana vita,wenye akili kama za msera inya wakamtukana mtu wa watu,eti ee msera inya ni mtu wa watu,leo kaamua kuwakana hadharani kwamba yeye si mtu wa watu,na wanaomtangazia hivyo ni waganga njaa tu.
 
Hayati Baba wa Taifa JKN (RIP) mwaka 1995 alitutahadharisha kwamba Jk alikuwa 'bado mdogo' ku-fit katika ukuu wa nchi, na mwezake EL alikuwa mwizi wa mali ya umma. Sisi kwa kuwa tuna vichwa vya panzi tukaelewa kuwa Mwl alimaanisha 'udogo' wa umri. Tukasubiri Jk ameongezeka umri mwaka 2005 tukampa ushindi wa kishindo. Hiki kinachotokea ni laana kwetu kwa kushindwa kuelewa Mwl alikuwa anamaanisha nini. Kama mtu mzima ilibidi atumie lugha ya kiutu-uzima. Alichomaanisha kwa kutumia neno 'mdogo' ni hiki hiki tunachokishuhudia. Rais na Amiri Jeshi Mkuu anashindwa kutumia mamlaka yake kufanya vyombo vya usalama na sheria vitimize wajibu anakimbilia ku-copy na ku-paste lugha za wanasiasa wa majukwaani. pathetic. JK alikuwa 'mdogo' mwaka 1995 na bado ni 'mdogo' mwaka 2014. Shame on you Mr President!!!!🙁
 

mkuu alicho kisema jk binafs naona sawa tu,kwasababu cc wana ccm tulio wengi tunajifanya waungwana sana,ifikie mahali tue naujasiri tuache unyonge taifa hili niletu sote,
 
kauli hiyo ya mkuu inamaanisha kwamba tayari kimenuka , tunachosubiri ni kipyenga tu .

Unasubili kipyenga kipi wakati kipyenga kimeshapulizwa? mimi sasa hivi natembea na Beretta yangu kiunoni shotgun ndio inakaa nyumbani, uknikanyaga tu nakunyoosha.
 
Jk hana habari hiyo vita aliyoitangaza mtu wa kwanza kuchinjwa atakuwa ni Riz1.
 
Unasubili kipyenga kipi wakati kipyenga kimeshapulizwa? mimi sasa hivi natembea na Beretta yangu kiunoni shotgun ndio inakaa nyumbani, uknikanyaga tu nakunyoosha.

Ukiona panya anachezea mkia wa paka ujue kuna shimo karibu yake.
 
this guy is not serious anataka ya kisesa eh? kikinuka mazima ajue polisi wote na wanajeshi sio ccm atasababisha ra rwanda labda anataka akistaafu akaishi the hague!!
 

Unasubili kipyenga kipi wakati kipyenga kimeshapulizwa? mimi sasa hivi natembea na Beretta yangu kiunoni shotgun ndio inakaa nyumbani, uknikanyaga tu nakunyoosha.

Ukiona panya anachezea mkia wa paka ujue kuna shimo karibu yake.
 
Wewe ulitaka asemeje? Awaambie CCM mkipigwa kuweni wanyonge tu na kubalini kupigwa
 
Kila Raia hapa lazima atembee na siraha yake kujihami na Tangazo la Mkulu wa kaya,sasa tutashuhudia maiti zikizagaa na hazina wazikaji,bila ya huyu mtu kubadilisha kauli yake mauaji ya kimbari lazima yapige hodi Tanzania.
 
Wewe ulitaka asemeje? Awaambie CCM mkipigwa kuweni wanyonge tu na kubalini kupigwa

Tulitaka aseme CCM mkipigwa mbele mtoe na 0713 we mwehu kwani sheria hakuna,tatizo lako unawaza kupitia 0713
 
Dunia nzima inajua Tanzania hawana rais,ndie huyu Pk anamwinda kwa udi na uvumba...
Cjapata ona rais mbovu kama huyu,hivi yeye ni rais wa ccm au tanzania hata busara hana..

NA PK lazima ampate huyu.
 
sikuamini kabisa kama huyu jamaa mpangaji wa magogoni anaweza tamka upuuzi kama huu.au alikuwa ana refer kwa kagame jamani
 
Vita imetangazwa wewe unataka tupendane, sisi tunasaka sumu za mishale, wewe endelea kupendana na mkeo kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…