Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
wala haijachakachua....
Ni kitu halisi alichoongea mwenyekiti na aliwaambia waandishi wakaandike... nyie ndo mnahangaika kutaka kusema eti TBC wamekanusha ili muoneshe kwamba tunajutia kauli hiyo..
soma hiyo usipate tabu...
"Tulizungumza nalo hilo kwenye Kamati Kuu, tulikubaliana kuacha unyonge. Ndiyo, kwenye Kamati Kuu tumekubaliana, tumesema jamani watu wote waende wakaseme tumekubaliana kuacha unyonge," alisema huku akicheka na kupigiwa makofi na wajumbe wa Nec.
Rais Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, alitolea mfano wa tukio lilitokea Kahama mkoani Shinyanga, ambapo kijana mmoja alitolewa macho kwa bisibisi, na tukio la Igunga ambapo kijana mmoja alimwagiwa tindikali katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo.
"Acheni unyonge na hata katika taarifa ya habari leo (jana) mtoe hivyo hivyo. Na mwache habari zote mseme hii tu (waandishi wa habari). Uvumilivu una ukomo wake," alisema huku wajumbe wakiendelea kumpigia makofi.
"Nalisema kwa sababu yanayotokea yanasikitisha sana. Pale Igunga kijana yule wamemwagia tindikali, pale Kahama kijana ametolewa macho kwa bisibisi,"alisema.
haturudi nyuma kuwa na unyonge... unyonge basi

Amechoka na amani ana taka kujaribu kwanza ya Rwanda na Burundi.
Usiwe m-pumba-vu wewe.....
Alichosema Kikwete ni upuuzi mtupu !....Kila mtu mwenye ufahamu wa kawaida analijua hili....Hao wanaosema kuhusiana na TBC kila mtu anajua wana-joke, kujaribu ku-speculate jinsi watakavyojitetea !
Hivi kwa akili yako, unafikiri, ikulu wata-defend kauli yake kama unavyofanya wewe ?.....Ofcourse watajaribu kuonyesha kwamba hakumaanisha hivyo....watakapofanya hivyo sijui utasemaje wewe mburula ?
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.
Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.
Source: News, TBC1
Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.
Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?
Watu wote wapenda AMANI,hasa wanaharakati wa Tanzania wasipolisemea hili Tamko la Rais,wajue kabisa wanakalibisha mauaji ya kimbari Tanzania,ninaomba mijadala ifanyike ya wazi kabisa kujadili hii kauli inayotolewa na Rais wa nchi.Wamwambie lazima aombe radhi kwa kauli yake,maana kauli yake ni sheria kamili ambayo itatekelezwa na watu wote.
Wapi nimebabaika? Nyie ndio mnababaika mnaogopa nguvu ya mabadiliko mnachagua intimidation. Bado unababaika unaposema kuwa alikuwa anaongea kama Mwenyekiti wa CCM.....poor you
Hii kauli ni "extended version " ya ile ya WAPIGWE TU ya Bwana PINDA.
Ile waliambiwa Polisi, hii wameambiwa Wanachama na Wapenzi wa CCM. Yaani Polisi na Wapenzi wa CCM wawapige CDM.
Tunatakiwa tusiwe wanyonge tutembee vifua mbele CCM ndio tunaotawala hii nchi.
Mpo hapo mlipo?
Peter Kibatala anaandaa kukamilisha mashtaka na anakwenda Mahakama kuu kufunguwa kesi ya kikatiba dhidi ya huyo Vasco da Gama.
Hizi pumba zako subili uende ukawajibu majaji kesi ikishaaiva
Asamehewe bure kwasababu alighafilika baada ya kupewa na kuisoma report ya mwenendo wa chama hasa katika chaguzi ndogo.