Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 756
- 322
Waliuawa kwa sababu gani? kama siyo vurugu walizoanzisha wao? usitegemee kuwa ukianzisha vurugu siyo lazima ufe wewe, jiwe likirushwa halichagui umeanzisha vurugu wewe au la. CHADEMA mjitathmini sana, ukiona mkuu wa nchi ametoa kauli kama hiyo ujue serikali imechoka, sasa mkiendekeza viroba vyenu na uchagaa hakika mtakwisha
nasikia pale makao makuu ya chama ufipa kuna chumba kimejaa tindikali na vidumu vya sumu
angetoa mpinzani kauli hii angeambiwa ni mchochezi.je hii siyo kauli ya uchochezi?
Kama unasikia ina maana umeambiwa, kama umeambiwa na umeshindwa kuchukua hatua basi wewe ni dhaifu kuliko dhaifu!
sorry mkuu mbona kauli zako zimekaa kichokochoko sana au na wewe ni uchoko wako?!!
Jk kweli mtambo.... dah..!! Pinda alisema wapigwe tu tukaona matokeo yake, leo amesema bosi wa Pinda na Amiri jeshi mkuu.. Mtaniambia.
Hii ndio kauli ya kiume kuliko zote zilizopata kutolewa kwenye uzi huu. Polisi watuache wenye tufundishane adabu.
safi JK hata maandiko yanasema kinyonge hakitaingia ile inchi ya ahadi
Chadema and its counterpart are doing the same evil actions as CCM used to long back.
Thepart which was believed to bring the true image of democracy has fundamentally morally deteriorated and has lost legitimacy in Tanzania eyes.
People are asking, if these actions are happening and the top leaders are quiet, what will happen if the part come to power????
Wapinzani hasa chadema huwa ni wapole sana, wanyenyekevu sana, wastaarabu sana, lakini siyo wanyonge.
Hii kauli ya Kikwete kusema ccm waache kuwa wanyonge ni unafiki uliopitiliza, ni kauli ya kichochezi, anastahili kupelekwa The Hague!
Ikifikia mahali rais anatoa maneno ya kipumbavu kiasi kile jua nchi hii amani ndo inatoweka hivyo!
tutobolewe macho kwa nondo tucheke?
unyonge basi