Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Mimi si mfuasi wa chuki,napenda amani,wala sizungumzii kauli ya mtu,nataka tu tuutafute ukweli kwani kahama kulitokea nini mpaka watu wakapigana na kutoana macho,tueleze ukweli wa chanza kwanza,au watu waliibuka na kuanza kutoana macho,nasisitiza siungi mkono machafuko ya aina yoyote,nipo kwenye root cause analysis....nini kilitokea pale kahama,ilitutibu tatizo la machafuko kwanza lililosababisha kuchafuka kwa amani pale Kahama.
 
Hakika nami sikumuelewa kama kiongozi wa nchi unaongea vile alafu kwa tabasamu kubwa kana kwamba ni mazuri,MUNGU TUJALIE
 
Njoo huku Mtwara tukupe mashamba ya korosho ulime,i think that will help you,mjini hapo pagumu sana na pameshakushinda usizidi kudhalilika
Ushauri mzuri ila sidhani kama ataufanyia kazi, ni kichwa ngumu huyu!
 
Kuwa makini na mabandiko yako mkuu! Siku moja utajitahidi kuyakana. Lakini itakuwa "TOO LATE"... Hata km ni hasira, pia ni wengi wenye hizo hasira. Tena ni wengi wenye "UCHUNGU NA HII NCHI"
Usinitishe wewe

So,what...!!
 
Kauli ya Kikwete imejaa uchochezi na inaweza ikaleta maafa makubwa ndani ya nchi yetu. Rais anapohamasisha watu kufanyiana malipizi kinyume na sharia zilizopo ni hatari sana kwa mustakabali wa Taifa. Inampasa Kikwete kama Rais wa nchi apime kauli zake kabla ya kuzitoa hadharani vinginevyo akubali kuwajibika kwa lolote litakalotokea.

Ameyaona ya Igunga na Kahama lakini kuna mengi yamefanyika ndani ya nchi hii lakini anajifanya hayajui ama hakuyasikia mfano mmojawapo ni wa yule kada wa CHADEMA aliyechinjwa kwa msumeno na waliomuua kutoroshwa na polisi ili wasichukuliwe hatua za kisheria. Hata huo uhalifu wa Igunga ulifanywa na makada wa CCM wenyewe kwa lengo la kuwapaka matope watu fulani.

Ni vyema na inatakiwa rais ahimize na kuongoza kwa kuzingatia sheria badala ya kuhamasisha chuki na mgawanyiko miongoni mwa jamii. Kwao wanasiasa mgawanyiko miongoni mwa wananchi ndiyo mtaji wao mkuu na kamwe hawataki watu wawe pamoja kwa minajili ya kujadili na kuangalia namna ya kupambana na matatizo yanayowakabili.
 

wewe angalia jina lako lilivyo,na hakika linasadifu tabia zako,maccm mmezoea ku2mia kodi za wananch kunenepesha vitambi vyenu ,ndo maana unatetea uovu,hyo kauli haipaswi kutolewa na mkuu wa nchi,kumbuka alitoa pia mzee wa kulia lia mara anaposhndwa majukumu,
 
Hivi siku hizi kila mkosoaji wa pumba za magamba ana chuki eti kwasababu hakupewa kajinafasi? na bado naendelea kukushangaa unamaana gani kusema kj hakumaanisha alichokisema, kuwa wazi we ndo msemaji wake? unapokuwa kiongozi mkuu wa nchi ni vema kuwa makini ktk kila usemalo, hiyo kauli inafanana kabisa na uchochezi na haikupaswa kwa namna yoyote ile kutolewa na rais, yeye kama amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama angetia msisitizo kwa vyombo husika (dola) kuongeza umakini zaidi kuepusha matukio kama hayo kuendelea kutokea, hayo mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti ndo yanayopofusha akili zenu magamba, siku hizi fikra za waliopo zinateleza kama kisigino kilichokanyaga ganda la ndizi.
 
Hivi kweli huyo mnaemwita jembe Lowassa kwa maono yake akaona amwachie JK ndo awe raisi kweli ? Kweli wote vpofu tu.Jk maliza tu kwa amani usituharibie nchi ukakimbilia nje cc tubaki kuumia.
 
Eeah.! Sawa kabisa.
Kama mbwai mbwai mambo ya upole wa kondoo ni u.f.a.la.
Ujumbe huu uwafikie na wakristo wote mambo ya kuchomwa makanisa na kuuwawa mapadre hakuna haja ya kumbwela kusubri uchunguzi.
 
dk.slaa amenukuliwa mara kadhaa akisema kuwa nchi haitatawalika! Hilo mbona hamkulilaani? Hata hivyo sijaona kauli yeyote yenye kiashiria cha kuvunja amani, ni tafsiri zenu tu zenye lengo la kumchafua rais kama kawaida yenu!

eti kumchafua raisi!
Rai . Si wa nani huyu dhaifu kiasi hiki?
 

Akili zako mbovu kwa hiyo unashabikia/unahalarisha mkuu wa nchi kuunga/kuhamasisha wananchi kuuana badala ya kuchukua hatua stahiki ya kuzuia bila kumuonea wala kumuonea mtu? juha!!
 
Hapa hatushindani kuorodhesha maovu wanayofanyiwa wafuasi wa vyama, kikubwa hapa ni kuwa JK kaongea kama RAIS na AMIRI JESHI MKUU.

hembu wambie.kuna watu humu wana akili fupi,yeye bdala ajikite kwa hoja iliopo anaanza kuorodhesha yaso na mana,
 


Rubbish kati ya CCM na upinzani nani huwa ni wafanya fujo? CCM kwa kushirikiana na vyombo vya dola ndio wavuruga amani nchini kwanza hawapendi kushindwa utajikuta vyama vya upinzani mpaka vishinikize matokeo yatangazwe kwa kutumia nguvu za wananchi. Wachochezi ni wao halafu wanajifanya kuonewa nani ana vyombo vya dola katia ya CCM na upinzani? Mbona hata siku moja hatujawahi ona polisi wakipiga viongozi wa CCM bali upinzani tu?
 

hivi kina nani waliompiga na kumjeruhi mwandishi wa habari wa mwanachi kosa er kuwapiga wanaccm kahama wakipiga wanachadema???..ccm ndo waanzilish wa fujo..ccm hamjaanza leo..tunakumbuka kule zanzibar cuf walipowakalia koon kwa upinzani imara
 
Akili zako mbovu kwa hiyo unashabikia/unahalarisha mkuu wa nchi kuunga/kuhamasisha wananchi kuuana badala ya kuchukua hatua stahiki ya kuzuia bila kumuonea wala kumuonea mtu? juha!!

Wapi rais alipohamasisha mauaji? Mbona mnatekwa na hizi siasa uchwara za CHADEMA?
 
Wapi rais alipohamasisha mauaji? Mbona mnatekwa na hizi siasa uchwara za CHADEMA?

kusema wananchi wapigane si uchochezi? Siasa uchwara zipo chadema? Umewah kumsikia mwigulu akitukana matusi ya nguon kweny kampen? Hzo si siasa uchwara?
 
Didas is solid right. Wanaccm wanafikiri kwa kutumia makalio. Kama mwenyekiti taifa hajui kuwa ngumi haziishii tu kupigana makwenzi, sembuse hili la kuigeuza Tanzania sawa na Afrika ya kati. Ahhh wanajeshi nao mdebwedo.
 
Ushauri mzuri ila sidhani kama ataufanyia kazi, ni kichwa ngumu huyu!
Nimetangaza vita na the so called Yericko Nyerere kwa kuwa kupitia yeye chadema imemtuma kutangaza vita dhidi ya waislam kwa kuwatusi na kuwadhalilisha hususan humu mitandaoni

Na kwa kuwa wengine hatuna haja ya siasa zao hizi za majitaka nawaapia chadema kwamba kwa kupitia huyu kiumbe anaeijiita mtoto wa nyerere vita hii itawagharimu humu mitandaoni na hata uraiani hata kama wao hawaioni effect hii kwa sasa lakini watakuja kuiona kwa baadae

Wapambane na adui yao ccm,lakni kuwatumia walaghai laghai na wahun wahun kama yericko kuwasha moto na giants kama sisi ni wazi kwamba wanajitangazia kifo,we are so much dedicated into this mission HATULIPWI NA YOYOTE,WE FUND OURSLVS
 
Last edited by a moderator:
kusema wananchi wapigane si uchochezi? Siasa uchwara zipo chadema? Umewah kumsikia mwigulu akitukana matusi ya nguon kweny kampen? Hzo si siasa uchwara?

Ukiambiwa ulete ushahidi, utaanza porojo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…