Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 1,353
- 2,351
Ndugu zangu nataka niwambie ukweli kuwa mimi nina ujuzi kubwa juu ya mitandao ya Kijamii na ni mzoefu mkubwa wa mitandao ya kijamii na mara kadhaa nimekuwa nikisaidia badhi ya kampuni kudesign muonekano wa mitandao yao, nafahamu kwa undani kabisa kwanzia muundo na hata uwekezaji wake hivyo basi nina kila sababu ya kusema kuwa tunapaswa kuheshimu sana mitandao ya kijamii kwasababu uwekezaji wake ni mkubwa sana
Ukiwa mmiliki wa kawaida wa mtandao wa kijamii angalao basi kwa mwezi uwe na kiasi si chini ya 2million kwaajili ya kulipa bill zako ambapo kwa mwaka unaweza kufikia kiasi kisichopungua 10M huo ni uwekezaji wa software yako pia kuna gharama za kodi ya jengo la kuendeshea huduma yako (physical address) ikwemo bill za umeme maji, usafi, ulinzi, mishahara ya wafanyakazi wako ambapo kwa mwaka makadirio ya chini ni kiasi kisichopungua 20M
Kwa uwekezaji mdogo katika mchanganuo huu ni kwamba kumiliki mtandao wa kijamii ni jambo zito ambapo mmiliki analazimika kulipa kiasi si chini ya 30M kwa mwaka
Huu ni mchanganuo wa mmiliki wa kawaida lakini kuna mchanganuo wa wamiliki wakubwa ikiwemo Meta inayomiliki Facebook, Instagram, Threads na WhatsApp, X, TikTok, Snapchat na wengineo ambapo makadirio ya bill zao kwa mwaka si chini ya $1,000,000usd kwa mwaka
Kulingana na mchanganuo huu mfupi tunaona kuwa namna gani tunapaswa kuthamini na kuheshimu mitandao ya kijamii kwa uwekezaji mkubwa unaofanywa na hawa wamiliki ikiwemo Mark Zuckerberg, Elon Musk, Zhang Yiming, Evan Thomas Spiegel, Maxence Melo