Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,675
- 22,265
Nami nilisahau, loji za shotitaimu nazo zimo.Duh! Nilikuwa na hangover mkuu
Nami nilisahau, loji za shotitaimu nazo zimo.Duh! Nilikuwa na hangover mkuu
Kwa uzoefu wangu 1st class ni wawili,nadhani itakuwepoHapo wamezingua, kuwe na ya watu wawili, au kuna 1st class?
Unategemea serikali ya JPM inatuma train ya kwenda kaskazini ifanye sawa na yanayofanyika reli ya Kati? Hiyo sahau 100%
Delux coach nibehewa sawa na seat ya yutong bus, speed ya engine yake ni kubwa na hotel ndani kwa ndani .nilitangulia kusema ukanda huo unawafanyabiasha wenye vichwa vigu u.yutong moja sio chini yaTsh 380 million na huwezi kununua yutony mojalazima ununue mbili ili zipishane nakitita chote hicho lazima uende crdb, mwisho wa siku marejesho hakuna ,utawakuta maafisa wa bank nyumbani kwako wakibandika matangazo ya mnada.kwanini biashara imeshindikana.
Mtoa mada kwani hii ndio treni ya kwanza nchini? Hadi sasa watu wanapanda mabasi ya kwenda Moro, Dom, Tabora, Kigoma na Mwanza.
Niache kupanda Marangu nikapande Treni!!!! Ngisuko loo!!!
Kusuko dede...treni ni salama na uhakika tofauti na basi achilia mbali kusafiri pia utatalii
Kila dhambi ina malipo yake, waliihujumu reli wakajineemesha sasa inarudi kuwalipa sawia na matendo yao
Sijamaanisha watakosa wateja ila wawe na mbinu za kushawishi abiri,maana upinzani tayari umekuja
Kila anaye toa wazo bas si mwema sijui kwanin tumetanguliza vyama mbele kuliko utaifaHivi hakuna jambo tunaweza kujadili ktk malengo ya kitaifa, na sio mlengo wa vyama?
Kwa nini Mr. Mbowe anaogopa ushindani ndani ya chama chenu.Huu mfano ni irrelevant,ungetoa ule mfano wa jiwe kujifanya anakubalika...or mara tunatoa elimu bure,tunanunua ndege zetu wenyewe kwa cash😂😂😂😂,uchaguzi ukifika anawaita watendaji na kuwaambia wakati wa kurudisha fomu wakimbie office ili wagombea wa chama chake wapite bila kupingwa na kuwakata wapinzani wote wanaogombea😂😂😂😂😂😂😂😂....mbwembwe nyingi za kujifanya anakubalika but anaogopa uchaguzi huru na haki...yaani akisikia uchaguzi anaogopa na anaweweseka kabisa😂😂😂😂