Wamiliki wa mabasi jipangeni ujio wa treni Dar to Moshi

Unategemea serikali ya JPM inatuma train ya kwenda kaskazini ifanye sawa na yanayofanyika reli ya Kati? Hiyo sahau 100%
Delux coach nibehewa sawa na seat ya yutong bus, speed ya engine yake ni kubwa na hotel ndani kwa ndani .nilitangulia kusema ukanda huo unawafanyabiasha wenye vichwa vigu u.yutong moja sio chini yaTsh 380 million na huwezi kununua yutony mojalazima ununue mbili ili zipishane nakitita chote hicho lazima uende crdb, mwisho wa siku marejesho hakuna ,utawakuta maafisa wa bank nyumbani kwako wakibandika matangazo ya mnada.kwanini biashara imeshindikana .
Mtoa mada kwani hii ndio treni ya kwanza nchini? Hadi sasa watu wanapanda mabasi ya kwenda Moro, Dom, Tabora, Kigoma na Mwanza.
[/QUOTE]
 
Kwa Sasa kilio kinaanzia Kanda ya kaskazini,kwa wenye mabasi, next Dar to morogoro baada ya kukamilika kwa SGR, next kitamia Moro to dodoma, next kitamia dar to mwanza.
Ushauri wabureeee kabisa wamiliki wa mabasi na malori Tanzania , tafakarini na mchukue hatua ya kununua biashara nyingine,hiyo ikifika 2025 basi
Nilisikiliza BBC siku fulani wamiliki wa Malori Kenya walikuwa wakilia baada ya ujio wa SGR huko, hii inatokana na wafanyabishara wengi kutuma njia ya reli kusafirisha mizigo yao kwa sababu ya bei na usalama zaidi.

TRC imetangaza ujio wa treni kutoka Dar kwenda Moshi tena kwa kipindi ambacho Ubungo inakuwa na walanguzi wengi sana na nauli hupanda kutoka 20,000 hadi 50,000 (tena bei unatajiwa kwa jeuri).

Wamiliki wa mabasi jipangeni baadaye msije kulilia serikali kuwa hakuna wateja sababu ya ujio wa treni. Bora muweke bei za kueleweka na kila msafiri.

Unaweza kupanda basi ndani ya basi kuna aliyelipa 40, 50 na hata 30. Pia kibaya zaidi unaweza kukosa basi ikakubidi upande Coster au Eicher.

Nauli hizi hapa kwa treni madaraja yote




Hapa sijajua safari inaanza saa ngapi na kufika Moshi itachukua siku ngapi.
 
Sijamaanisha watakosa wateja ila wawe na mbinu za kushawishi abiri,maana upinzani tayari umekuja
Labda treni ndio inayoweza kosa wateja.

Siku zote biashara zinaendeshwa na serikali zinaendeshwa kwa ovyo

Sana sana serikali wanachoweza fanya ni Kuwalundikia makodi watu wa malori ili kuwakatisha tamaa wasiendele na biashara za usafirishaji.


Ndomana hata kwenye project ya mwendokasi ilibidi kwanza wafute route ya dala dala za kawaida ili wafanye biashara vizuri

Warudishe route ya kimara_kariakoo_posta

Waone kama hata iyo mwendokasi haitajiendesha kwa hasara
 
Labda treni ndio inayoweza kosa wateja.

Siku zote biashara zinaendeshwa na serikali zinaendeshwa kwa ovyo

Sana sana serikali wanachoweza fanya ni Kuwalundikia makodi watu wa malori ili kuwakatisha tamaa wasiendele na biashara za usafirishaji.


Ndomana hata kwenye project ya mwendokasi ilibidi kwanza wafute route ya dala dala za kawaida ili wafanye biashara vizuri

Warudishe route ya kimara_kariakoo_posta

Waone kama hata iyo mwendokasi haitajiendesha kwa hasara
Duniani serikali haijawahi kupata hasara na ikipata hasara utailipa wewe hiyo hasara kypitia kulipa kodi kwa biashara unayoifanya wewe.kwa kuweka sawa, siku yeyote ukiona biashara unayoifanya na serikali, mtu binafsi ikimbie hiyo biashara Kama ukoma,hutaiweza.ova
 
Labda treni ndio inayoweza kosa wateja.

Siku zote biashara zinaendeshwa na serikali zinaendeshwa kwa ovyo

Sana sana serikali wanachoweza fanya ni Kuwalundikia makodi watu wa malori ili kuwakatisha tamaa wasiendele na biashara za usafirishaji.


Ndomana hata kwenye project ya mwendokasi ilibidi kwanza wafute route ya dala dala za kawaida ili wafanye biashara vizuri

Warudishe route ya kimara_kariakoo_posta

Waone kama hata iyo mwendokasi haitajiendesha kwa hasara
Duniani serikali haijawahi kupata hasara na ikipata hasara utailipa wewe hiyo hasara kypitia kulipa kodi kwa biashara unayoifanya wewe.kwa kuweka sawa, siku yeyote ukiona biashara unayoifanya na serikali, mtu binafsi ikimbie hiyo biashara Kama ukoma,hutaiweza.ova
mikopo yenye masharti nafuu yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 1 (sawa na shilingi Trilioni 2.778) hapa nchini na hivi sasa inakamilisha taratibu za kutoa mikopo mingine yenye thamani ya Dola za Marekani Milioni 500 (sawa na shilingi Trilioni 1 na Bilioni 389) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Hayo yamebainishwa wakati Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara na Maendeleo (Trade and Development Bank – TDB), Admassu Tadese.



Rais Magufuli amemshukuru Bw. Tadese kwa mchango mkubwa unaotolewa na TDB kwa maendeleo ya Tanzania tena bila masharti nafuu na amemuomba Bw. Tadese kuongeza mikopo zaidi itakayosaidia utekelezaji wa miradi muhimu na yenye manufaa ya muda mrefu kama vile ujenzi wa reli, mradi wa kuzalisha megawati 359 za umeme katika mto Ruhuji Mkoani Njombe na miradi ya ujenzi wa miundombinu muhimu.
Kwa upande wake Bw. Tadese amesema TDB imekuwa na uhusiano mzuri na Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango na ameelezea kufurahishwa na mazungumzo yake na Rais Magufuli ambapo ameahidi kuwa benki hiyo itazingatia ombi la kuongeza fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Tanzania ukiwemo mradi wa ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa (standard gauge railway-SGR) katika kipande cha kuanzia Dodoma kuelekea Kanda ya Ziwa na kanda ya Magharibi ambako itaunganisha na nchi jirani zisizokuwa na bahari.
 
Hakuna athari yeyote kwa wenye mabasi kumbuka inaishia mosho mjin watakaonufaika ni wa pale mjin anaekaa rombo haitaji tren . Gharama ya kupanda tren kwa anaishi rombo ni kubwa sana mfan dar to Moshimjin kwa tren 23500 kutoka moshi had rombo 10000 ,na naulo ya dar to rombo 30000 huon treni ghali sana.
Moshi rombo ni 4500
 
Kuna mdau hapo juu kasema dar -kigoma ni siku3 wakati kwa basi si zaidi ya masaa 18 kama ni kweli basi shirika la reli ndio lijipange na sio wamiliki wa mabasi...ata kama hyo tren itakua na kumbi za starehe ndani bado siwezi kupoteza mda wangu njiani.
Kumbuka pian treni ni salama zaido kuliko basi
 
Kweli nimeona treni za mizigo toka Dar hadi Moshi. Ila naomba yafuatayo:
Tusifanye haraka sana bila kuthibitisha usalama wa hiyo reli. Imekaa muda mrefu bila matunzo.
Tukianza, naomba iwe hata kila siku au wiki mara 4 ili hao mabeberu walioiua wakose pa kupumulia
Usafiri ukifika salama hata mara 4 tu tiyari Ubungo watauzia nyanya mle ndani
Hongera awamu ya tano. Wamethubutu nao wataweza tu
Train ilisharekebishwa na imeanza kazi kitambo kama miezi miwili sasa inasafirisha mizigo
 
Watu wa mabasi wengi washenzi tu natamani zije nyingi, ushenzi wao ni kipindi cha sikukuu hasa December wanapandisha nauli maradufu ili kukomoa watu.

This time naombea hiyo treni ufanikiwe kuanza safari maana wenye mabasi watakoma, nauli itabaki ile ile ya siku zote waache kukomoa watu kwa tamaa zao
Sio tamaa ni sheria ya uchumi,uhitaji ukiwa mkubwa zaidi ya uwepo wa bidhaa au huduma bei inapanda tu. So relax au nunua basi lako na wewe ikifika decemba pandisha nauli au kama wewe ndio abiria nunua gari lako unapoenda moshi unabeba na abiria wa lift
 
Wafanyabiasha wa Kanda ya kaskazini huwa wanajifanya Wana vichwavigumu kwenye kufanya biashara.ila kwa hili la train ya dar Moshi yafuatayo yatatokea.
1. Ubungo wapigabede wataanza kuwa wazururaji na vibaka kuongezeka dar.
2. Hotel zilizopangwa barabarani korogwe na mombo kufungwa na watu kukosa ajira, na huwa wanauza vyakula bei ya juu nahawana customer care hata kidogo.
3. Mabank kutakuweko na kilio kwa marejesho yatapungua 75% kwa waliokuwa wamekopea kununua mabasi Tena kwa gharama kubwa.
4.Moshi vibaku kuongezeka kwa Kasi kubwakutokana na wapigadebe kukosa kipato.
5.watu au wafanyabiasha wenye mabasi mabovu kuhama mjini.
6. Mabasi mengi kuanza route za vijijini ambako walisahauka.
7. Ajali za mabasi kupungua.
Ongezea chako
Alisikika mlevi mmoja
 
Haha Mkuu kuwa serious kidogo Unadhani hiyo mwendokasi
Inategemea na umri wako ila tuliowahi kulipanda "gogo" la miaka hiyo, kweli treni ina raha yake. Ukiwa na senti zako za kula taratiibu, hata Honey moon waweza kwenda naye huko huko kwa treni first class na hatasahau kamwe
 
Mabasi bado yatakuwa na nafasi tu mtu Ana panda basi awai Sasa treni si chini ya kulala njiani nakufika kesho yake
 
Back
Top Bottom