WAMILIKI WA BAR TUKUTANE HAPA.

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,845
2,937
Naomba tushauriane mambo makuu yafuatayo:

1. Jinsi ya kuwakamata/kuwavuta wateja, naambiwa ukiwawekea wahudumu wanawake wazuri lazima wajae.

2. Jinsi ya kudhibiti mapato kutokana na wizi au hasara za kuchanganya mauzo.

3. Jinsi ya kuongeza mapato katika eneo lako.

4. Changamoto za biashara hii na jinsi ya kuzitatua.

5. Jambo lolote la kuzingatia katika biashara hii.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikao cha wenye BAR, walevi lazima tuingie, msije mkawa na mikakati ya kuturoga sorry "kutukamata".
baa kabaaukaribuanjauwanjanwaiKinesihmbumchanaag nikamuungishe leo Mwenye

Hahahaaha, hawa jamaa wanataka kututenga wadau wao.
 
Kikao cha wenye BAR, walevi lazima tuingie, msije mkawa na mikakati ya kuturoga sorry "kutukamata".
baa kabaaukaribuanjauwanjanwaiKinesihmbumchanaag nikamuungishe leo Mwenye
Mkuu walevi mnapendelea mambo gani bar ili tujipange kuwahudumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo namba moja ndo uchawi wenyewe ulipo.Bar sio majengo mazuri bali wahudumu wazuri.Ukipata wale laini laini hapo lazima mzee baba tutie maguu kusuuza roho zetu.
 
Kwenye bar jiko ndio linabeba kila kitu....jiko ndio linaipa bar maisha,ukiwa na jiko linalotoa vyakula vya kueleweka bar yako haitokauka kamwe...


Pili uchangamfu wa wahudumu na kauli zao,,wasiringe sana, wawe na kauli hata mteja anakua na imani ipo siku nitaondoka nae...naomba kuwakilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa maoni haya. Unamaanisha ni sawa wahudumu kutembea na wateja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamiliki ninaswali kwenu ,kwa Nn hamuwekaki Mameneja Wa Kike ,mnaweka njemba tu halafu yanang'ang'ana na wahudumu Warembo ? Majibu plz Wamiliki ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kupata mwanamke mwenye uwezo wa kusimamia hiyo kazi ni ngumu. Ishu ni uwezo tu, wanawake hawawezi kutumia msuli na pia wana dharula nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact ni kwamba wahudumu wa Bar hawapewi elimu ya customer care kama inavyotakiwa na pia hawapewi elimu ya kujitambua wao ni nani, mi sipendi kabisa kuona wanajirahisi na wanatembea na kila wanaemuhudumia ama meneja anawasisitiza wakubali kushikwa shikwa kuongeza mauzo na kwamba wanaweza kufukuzwa kazi wakikataa, noo hio sio nzuri kabisa. Wewe kama mmiliki ni lazima kutenga muda walau mara moja kila mwezi uwape darasa la kujitambua na huduma kwa wateja na hio sio kazi ya Manager, pia uwasikilize shida na vilio vyao ukaribu eneo la kazi kati ya muajiri na muajiriwa huleta tija sana.
 
Wengine tunaogopa kuuza mechi tukilewa, tunahitaji simu ziwe full charge ili kudumisha ndoa zetu napendekeza sehemu za kuchajia ziwe kila meza
 
Back
Top Bottom