Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,469
Watoto wazuri sio tunahudumiwa na watu wazimaMkuu walevi mnapendelea mambo gani bar ili tujipange kuwahudumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wazuri sio tunahudumiwa na watu wazimaMkuu walevi mnapendelea mambo gani bar ili tujipange kuwahudumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili wateja mfaidi?Acha kwanza ile tabia yako mbaya ya kutembea na wahudumu wako!
Asante mkuu kwa maoni haya. Unamaanisha ni sawa wahudumu kutembea na wateja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu. Hili nimelipata.Sio sawa..ila pia sio sawa muhudumu kuwa harsh kwa mteja,,kwa hyo hapo inabidi uwa train jinsi yakuishi na wateja vyema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikao cha wenye BAR, walevi lazima tuingie, msije mkawa na mikakati ya kuturoga sorry "kutukamata".
baa kabaaukaribuanjauwanjanwaiKinesihmbumchanaag nikamuungishe leo Mwenye
