First dili ni kuwa na best manager, tena ikiwezekana chukua hawa graduate wa business administration au human resources. Tena ukimpata manager mwenye uwezo kwa kukufanyia Swot analysis vizuri na kuwa-commited kwenye kazi yake. Then mpe room ya kufanya kazi yake vizuri. Haki tena utaleta mrejesho hapa.....maana hiyo biashara itasimama amna mfano.
Second, wewe pia jiweke kibiashara ndugu, kama umeamua kufanya biashara ya bar. Hakikisha una-full facilities ikiwemo vinywaji pendwa vyote and attractive area.......
Note.
Yapo mambo mengi sana ya kufanya, ili ufanikiwe kwenye biashara hii. Ila hayo mawili hapo juu ni uchawi mkubwa sana kwenye biashara hiyo.
"Walevi ni walele, wanabadili bar tu...."
Sent using
Jamii Forums mobile app