Wamekata?!!

Mlitika

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
457
260
"Wamenitumia ada ya shuleeeeeeeee!" "wamekataaaaaaaaaaaa!"


Matangazo mengine bana!
 
Nimekam fasta hapa nikatoka bafuni na povu la sopu kichwani nikidhani yakatwayo ni MAUNO kumbe ! Akh!
Umenimisiplesije!
 
nimekam fasta hapa nikatoka bafuni na povu la sopu kichwani nikidhani yakatwayo ni mauno kumbe ! Akh!
Umenimisiplesije!

pole mkuu it happened 2 me pia ila me nilikuwa napiga cha alfajiri mara ghafla aah.. Mza vip?
 
Lile tangazo first time kulisikia nilikuwa kwenye dala dala nikalichukulia poa. Siku moja nimekaa home nimetulia halafu nikalisikiliza niliangua kicheko balaa..
 
Back
Top Bottom