SINORAY/SINYORITA/ Zinamaliza vijana

SINORAY/SINYORITA/ Zinamaliza vijana

Hayo ni majina ya pikipiki aina ya Sinoray huku kaskazini tunazika sana vijana mwendo kasi,Miraa wamelewa wengine wamekata tamaa ya maisha
Na mbona Bike aina zingine ajali ni chache pikipiki ndogo CC 200 240KM hizo zitatuua
Arusha daily kila kijiji wanazika
 
Alikuwa Anakwenda Mwendo Wa Ngiri Mkia Juu
Ahaa mapema tu.unaweza ukasema ni filamu ya mazombie kumbe ni real na alikuwa Bado anaongea.sijajua ameshakufa au yupo hai.
Ila kupona ni ngumu.wanaweza kummalizia.maana vipande viwili miguu Kwake ,tumboni kwenda juu kwake
 
Mibongo bana. Mungu alikuumba na miguu ili utembee na usafiri. Kwa kupenda na kuendekeza anasa mnakimbilia kutumia vyombo vya moto. Kufeni tu mambwa nyie!
 
Ahaa mapema tu.unaweza ukasema ni filaNmu ya mazombie kumbe ni real na alikuwa Bado anaongea.sijajua ameshakufa au yupo hai.
Ila kupona ni ngumu.wanaweza kummalizia.maana vipande viwili miguu Kwake ,tumboni kwenda juu kwake
Nguvu Kazi Inapiotea Sasa Vipande Viwili Alikuwa Anaongea Nini ?
 
Back
Top Bottom