Ali express kutaka TIN yangu

Ali express kutaka TIN yangu

Top gear

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2023
Posts
1,645
Reaction score
4,579
Habari za usiku wakuu, samahani Nina shida kule Ali express.Nimeshaagiza mizigo mara kadhaa na ikafika yote.Ila Nina kama mwaka sijaagiza,juzi nikaagiza sasa ninaona Kuna kuna kitu kipya sikuwahi kukiona kabla.

Kuna Hawa wanajiita MailAmericas wamenitumia msg kwny email na Whatsapp yangu wakisema ili waendelee na process ya ku deliver mzigo wangu kuna form wamei attach nijaze TIN yangu.Hii ni sawa au ni Scam?
 
Zamani DHL ilikuwa unaleta mzigo tu. Baadae wakaanza utaratibu huu lazima uambatanishe TIN yako, ni matakwa ya TRA(sheria za kodi Tz)
 
Shukrani bro,Kwny ku import gari naona huu ni utaratibu sikujua na Kwny hivi vi_parcel vidogo nako wana demand TIN.
 
Huo Ndio utaratibu wa TRA, Wala usiogope , Sasa hivi mpaka online TV wameambiwa waweke TIN zao live.
 
Shukrani bro,Kwny ku import gari naona huu ni utaratibu sikujua na Kwny hivi vi_parcel vidogo nako wana demand TIN.
Ilileta shida sana DHL maanake kabla ya huu utaratibu mzigo ilikuwa unaupata ndani ya siku 3 kutoka EU ila walipianza mambo ya TIN mzigo ikawa at least 7 days ndio utaupata. Nilikuwa natumia sana DHL na Aramex.
 
Sikua natumia DHL,nilikua natumia FED EX na last time ilikua 2017 huko.Sikujua mambo yamebadilika hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom