Wamasai Wakisakata Kabumbu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamasai Wakisakata Kabumbu....

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Oct 3, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,393
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Sasa hapa ukimchezea faul si unaweza ukapigwa sime?

  jk.jpg
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,660
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  ....yeeemwe!!
   
 3. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Najaribu ku imagine hilo vumbi linalotimka hapo maana ruka yao si ya kitoto
   
 4. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 26,319
  Likes Received: 4,763
  Trophy Points: 280
  Halafu mbona kama hilo ni jiwe na sio mpira..
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,091
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni hatari hii. Maana shuka likimkaba mtu au kukwama mguuni utasikia mtu kavunja mbavu. Nashauri serikali Edward Lowassa awanunulie vifaa vya michezo waondokane na hii hatari. Pia waangalie wanapocheza mpira wakitokea wezi wa mifugo watawaacha kwenye mipira na kuondoka na ng'ombe.
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 69,477
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  na wanacheza kabumbu na sime kiunoni.....................hii yatisha
   
 7. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,284
  Likes Received: 799
  Trophy Points: 280
  hivi sheria za michezo zinaruhusu michezo kwa stail hii ya uvaaji?
  halafu kwani hawa huwa wanavaa pichu? sasa inakuwaje si yoyoyo zinapata tabu?
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,288
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Halafu hizo nguo zikiwavuka inakuwaje?
   
 9. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kwa wenyewe sidhani kama ni tatizo............

  watazamaji labda........
   
 10. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #10
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Chochote cha mviringo ni 'mpira',chezeya yeroo wewe.
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,288
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Haaahaaa! Siwezi kusogea karibu na hiyo ngoma nikiwa na watoto.
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  mambo ya kiyeyo takwenya hayoo hala to them..
   
 13. paty

  paty JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,197
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  sipati picha tik tak zinavyopigwa hapo
   
 14. Paloma

  Paloma JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 5,341
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hahahahaaaa Ndahani ni noumer!
  lkn siku moja nilipita walikuwa wamekaa wamasai kama watano hivi, nikavuta jicho nione kama ndude zipo nje ama vipi...hee ndani wamevaa kaptura banaa! Nikasema wameniweza maana nilijua ntapiga chabo hapo...........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,924
  Likes Received: 22,022
  Trophy Points: 280
  Nani kakuambia kuwa lowasa ni mmasai?

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,924
  Likes Received: 22,022
  Trophy Points: 280
  Duh! Wewe ni noma.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Oct 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,484
  Likes Received: 9,906
  Trophy Points: 280
  Boflo, niliwasikia jamaa wamasai wakiitana kwenda kucheza mpira "oyaaaa wewe ole Bujibuji, twende kutachese baba yake kitenesi"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,171
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Hawajaacha malindo yao kweli hawa? Mbona usiku?
   
 19. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,245
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  I see, hapo pana kazi, na walivyo warefu!
   
 20. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,288
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  Hao ni wa siku hizi wanaovaa kaptura....naona wameona maduka ya nguo yameongezeka labda.
   
Loading...