Wamasai ni watu jasiri sana

Wamasai ni watu jasiri sana

Hao ni wamangati ni mashujaa sana kuliko wamasai. Kila mtu akimudu kuishi sehemu alipo bila woga na kwa ujasiri basi ni SHUJAA.
 
Spati picha hao simba wange wa dindia hao masai hiyo ligi sijui ingekuwaje?
 
Ukienda Zanzibar,wamasai wanaongoza kwa ushoga.Wanaliwa na wazungu balaa.

Ni ajabu lkn ni kweli
 
watu wa pwani nao ni mashujaa duuuh!
Si ndo hao wanaonyanyaswa na vitoto vya panyaroad
Tena vitoto vidogo unakuta vimesha anza mapenzi ukitaka uamini tembelea Beach mida ya jioni kuanzia saa moja na kuendelea siku za sikukuu
 
Masai mbwembwe zoye ni porini tu hebu mlete ziwani hapo utamuua masai na maji ya ziwani ni vitu viwili tofauti kabisa halafu kama kuogelea basi mimi ni shujaa nina uwezo ziwa likiwa shwari natoka kamanga ferry mjini mpaka kamanga ferry ng'ambo ya sengerema
 
Hahahahhha
 
But wanawasubir kwanza simba wale kidogo nywe na damu. Wakishalewa damu ndo wanaenda ...wakat huo simba hua anakua kawa mzito na hataki putukushani. Hata fisi tu wangeweza kuwakimbiza hao simba.
 
But wanawasubir kwanza simba wale kidogo nywe na damu. Wakishalewa damu ndo wanaenda ...wakat huo simba hua anakua kawa mzito na hataki putukushani. Hata fisi tu wangeweza kuwakimbiza hao simba.
Hivi damu inalewesha eeh mkuu!
 
Masai mbwembwe zoye ni porini tu hebu mlete ziwani hapo utamuua masai na maji ya ziwani ni vitu viwili tofauti kabisa halafu kama kuogelea basi mimi ni shujaa nina uwezo ziwa likiwa shwari natoka kamanga ferry mjini mpaka kamanga ferry ng'ambo ya sengerema
mh
 
Ujasiri kwa Wamasai sio kitu cha kuuliza ama kuigiza. ni INBORN THING, mtoto mdogo wa kiume wa kimasai anaweza kutoka na sime usiku wa manane umbali wa kilometer kadhaa bila woga, achilia mbali Moran aliyetoka jando mwenye Mkuki mzito wa kilo 3 mkononi.

Mwanamke mmoja wa Kimasai ana ujasiri unaowazidi Wanaume 300 wa Dar es salaam.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WANAUME WA DAR WOTE NI MASHUJAA

Wacha kujitukana wewe kijana wa Dar.....Wanaume wa Dar wana ushujaa gani zaidi ya kuendekeza ushoga, kutokuwa na nguvu za kiume, kuvaa hereni, suruali chini ya matako, na kuwa waoga kwa kila kitu? Mwanamme wa Dar ukimpeleka hapa mbugani si atakuambia bora umfi.le tu ila usimuache analiwa na panya sembuse simba au chui? Wanaume wa Dar bwana.
 
Wanaume wa mikoani hivi mlifanywa nini na wanaume wa dar?je ni vitu vyenye ncha kali walitumia kwenu?

Wanaume wa Dar ni wapumbavu kichizi....yaani ujinga wote wasiokuwa nao wanaume wanao wao.....kutokuwa na nguvu za kiume, umbea, uwoga, umbea, kusuka nywele, kuvaa hereni na kujifananisha na dada zao, ushoga wa ksirisiri.....wanaume wa Dar ni wapuuzi sana na hawafai kuigwa hata kidogo. Dada zao wenyewe hawawaheshimu hao kaka zao bandia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom